Maelezo

Ujumbe huu umeandikwa na baadhi ya wanachuoni na wanatamaduni wa kiislam walio ungana ili kichunguza mfungamano wa inchi za kimagharibi na usulubu gani bora na mwafaka utakaotumika kwa wenye kudhihirisha kusudi zao kwa kuvuka mipaka ya uislamu uliotukuka, kwa kutumia vikao rasmi vya kidini na vya habari katika nchi za magharibi. Nasi twaelekeza ujumbe huu kwa wanafikra wakongwe na waandalizi wa amri na viongozi wa kidini na wa nchi ile watilie maanani jambo hilo tukiwaambia:

Maoni yako muhimu kwetu