Njia ya Mtume katika kulinda heshima ya Uislamu

Mwandishi :

Utunzi wa kielimu:

Maelezo

Njia ya Mtume (s.a.w), katika mambo yote kwa ujumla kwa kulinda heshima ya uislamu, na kuusafisha na kuutakasa kutokana na maneno yanayo weza kuuchafuwa na kuuweka dosari haliyakuwa uislamu upo mbali kabisa, na hii njia ya Mtume (s.a.w), ipo wazi kabisa kwa kila atakae zingatia historia yake nzuri, na katika makala hii yametajwa badhi ya maswali kuhusu mada hiyo. makala haya yamesambazwa katika gazeti la (sharqi ausatw) namba 10696 siku ya J/nne 3/3/1429هـ

Maoni yako muhimu kwetu