Haki ya muislamu juu ya muislamu mwenzake ni tano

Mhadhiri :

Maelezo

Muislamu juu ya muislamu mwenzake, mada ya audio inazungumzia mambo matano kwa njia safi kabisa, kwa muda wa dk 15.
1: Mtapo kutana toleaneni salam. 2: Atakapo kuita muitike.
3: Atakapo kutaka nasaha mnasihi. 4: Atakapo umwa kamuone. 5: Atakapo kufa kamzike.

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu