• Kiarabu

  MP3

  Mkusanyiko wa vipindi (kisa cha kuslimu swahaba), kilicho tolewa katika redio ya saudi arabia, kila kipindi kinagusia kuslimu swahaba miongoni mwa maswahaba watukufu, kipindi hiki hutolewa na dk: Hassani Habashi

 • Kiarabu

  MP3

  Kwa hakika kila mwenye roho anataka maisha bora na kujitahidi ayapata, tofauti ni namna ya kuyafikia hayo maisha , na Mwenyezi Mungu kabainisha ktk kitabu chake kitukufu ni nuru kwa mwenye kutaka nuru hiyo, amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: (Enyi mlio amini! Muitikieni Mwenyezi Mungu na Mtume anapo kuitieni jambo la kukupeni uzima wa milele. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu huingia kati ya mtu na moyo wake, na kwamba hakika kwake Yeye tu mtakusanywa). (Al-Anfaal: 24).

 • Kiarabu

  MP3

  Sherehe ya ubora wa Uislamu cha Sheikh Muhammad ibn Abdulwahab (r.h) kitabu hiki chazungumzia ubora wa uislamu na maana yake na yanayo faa na yasio faa na kuelezea mambo ya bidaa na umuhimu wa kuifuata sunna na mengi tofauti na hayo.

 • Kiarabu

  MP3

  Kalazimisha Mwenyezi Mungu Mtukufu juu ya waja wake kumtii yeye, na akaharamisha kumuasi yeye, yeyote atakaemtii atafaulu duniani na akhera, na mwenye kumuasi amekula hasara duniani na akhera, na miongoni mwa mambo aliyo wajibisha Mwenyezi Mungu kwa waja wake: Haki za waislamu wao kwa wao, yeyote atakae zitekeleza kafaulu duniani na akhera, katika muhadhara huu kuna ubainifu wa haki hizi.

 • Kiarabu

  MP3

  Ni sheria kwa muislamu kuwa na mfanya kazi atapo hitajia, pamoja na kuchunga haki za msingi juu yake, kumfanyia upole, na kumvisha, na kumlisha, na kumlipa mshahara wake wote, na kumuongoza katika mambo ya kheri na wema, na kupupia katika kusahihisha uelewa wake kuhusu dini ya uislamu.

 • Kiarabu

  MP3

  Hakika amani ni miongoni mwa neema kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu juu ya waja wake, na kuijenga ardhi, hasasaha mji wa makkah na madina, miji ambayo yatakiwa amani ndani yake hata mti unapewa amani, ambae anavunja amani ni muovu, gaidi, na sababu kubwa kapata elimu kwa njia isiyokuwa sahihi na kwa watu wasiyo julikana, na kutofahamu makusudio ya sheria.

 • Kiarabu

  MP3

  Kwa hakika Mwenyezi Mungu kajaalia kila nabii kampa sheria na njia, na akajalia sheria ya Muhammad (s.a.w), kuwa sheria ilio kamilika kwa muda wote, yenye kufanya kazi kwa zama zote, namna hali itavyo kuwa, na tofauti zitavyo kuwa, ndani ya sheria ya kiislamu kuna ufumbuzi wa kila jambo na kuhifadhi kila haki, na kunyanyua utukufu wa binadamu pale anapo jitambua, na kumuinua muislamu kwa sababu kabeba ujumbe wa tauhidi.

 • Kiarabu

  MP3

  Amesema Sheikh Swaleh bin Abdul-aziz Allah amlipe kheri, kuhusu risala inayo zungumzia ubora wa Uislam kitabu cha Sheikh Muhammad bin Abdulwahab (r.h), kitabu hiki muhimu sana katika vitabu alivyo andika sheikh, kinaelezea ubora wa uislamu, utukufu wake, namna ya kulingania,na kuelezea yanayofaa na yasiyofaa katika dini nk...

 • Kiarabu

  MP3

  Katika zama hizi husemwa sana kuhusu haki za binadamu, maneno haya husemwa sana na umoja wa mataifa, na nchi za kimagharibi, na kwahakika waislamu wanazo haki pia, -haki za binadamu- na neno hili wengi huzania ya kwamba limeanzishwa na nchi za kikafiri, Mwenyezi Mungu ndie alimjaalia binadamu kuwa na haki, kama alivyo jaalia kuwa na mambo ya wajibu.

 • Kiarabu

  MP3

  Hakika kuhakikisha amani ni katika mambo yaliyokuja na sheria ya Uislamu, na nikatika neema kubwa za Mwenyezi Mungu juu ya viumbe wake, apate amani Muislamu juu ya dini yake, amuabudu Mola wake kwa amani na utulivu, na awe na amani katika nafsi yake na mali zake na heshima yake, na yote hupatikana katika kubainisha sababu zake.

 • Kiarabu

  MP3

  Uharamu wa kumwaga damu isiyo kuwa na hatia: Muhadhara ulio tolewa Abha 1-8-1433هـ kazungumzia sheikh uharamu wa kumwaga damu bila ya hatia na kuchukua mali zao katika waislamu...

 • Kiarabu

  MP3

  Athari ya tauhidi katika kuleta amani: mkutano ulio fanyika katika muskiti mkubwa riyadh kazungumzia sheikh kuhusu amani duniani na akhera, na kwamba tauhidi na kuwa mbali na yanayo pingana nayo ndio sababu kubwa yakupatikana amani duniani na akhera, na kiwango cha tauhidi ya mja ndivyo atavyo pata amani na uongofu.

 • Kiarabu

  MP3

  Muhadhara: Neema ya uislamu: miongoni mwa mihadhara ilio fanyika katika muskiti mkubwa riyadh nakusajiliwa na kusambazwa sheikh Saidi bin wahfi qahtwany.. muhadhara huu wazunguukia kuhusu neema kubwa aliopewa muumini na Mwenyezi Mungu nayo ni neema ya uislamu na namna ya kuishukuru neema hii.

 • Kiarabu

  MP3

  Muhadhara alioutoa sheikh (r.h), katika muskiti riyadh, kazungumzia mema ya uislamu pamoja na kutoa mifano kwa ufupi, kisha akajibu badhi ya maswali.

 • Kiarabu

  MP3

  Misingi ya uislamu- umetolewa kowaiti 2-1-1431.

 • Kiarabu

  MP3

  Muhtasari katika falsafa ya sheria katika kutekeleza ibada ya Umra: Ubainifu wa sheria ya kutekeleza ibada ya Umra katika Quraan na Sunna na ufahamu wa watu wema walio tangulia,na kubainisha baadhi ya mambo mapya yanayo fungamana na Umra.

 • Kiarabu

  MP3

  Haki ya muislamu juu ya muislamu mwenzake: katika muhadhara huu kabainisha sheikh ya kwamba kila muislamu anayo haki juu ya ndugu yake na kuna dalili nyingi zinazo bainisha hayo.

 • Kiarabu

  MP3

  Haki ya muislamu juu ya muislamu mwenzake: muhadhara kazungumza sheikh juu ya Haki ya muislamu juu ya muislamu mwenzake, na namna alivyo usia Mtume (s.a.w), juu ya kuchunga haki za waislamu.

 • Kiarabu

  MP3

  Ubora wa Uislamu: Risala iliyo andikwa na Sheikh Muhammad bin Abdulwahab (r.h), anasema Sheikh: Swaleh bin Abdul-aziz (h.f), ni katika risala muhimu sana alizo andika sheikh zinazo elezea umuhimu wa Uislamu na fadhila zake na maana yake na akaelezea uzushi na ubaya wake katika dini nk...

 • Kiarabu

  MP3

  Ubora wa Uislamu na upole wake: Muhadhara mzuri umebainisha ndani yake Ubora wa dini ya Uislamu, na akabainisha pia sehemu ya upole wa sheria ya kiislamu.

Ukurasa : 2 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu