• PDF

  Makala imechukuliwa kutoka kwenye kitabu Ujumbe wa Uislamu cha Sheikh dk: Abdurrahman Abdul-Hakim Shiha, ndani yake kuna: Uislamu ni Dini ya elimu na ujuzi- Uislamu ni dini yenye uhakika- Uislamu mtu akifanya mema huzidishiwa mara dufu- Uislamu hubadilisha mabaya kua mema kwa wale wenye kutubia kwa kweli- Uislamu unadhamana ya kuendelea mema ya mtu baada ya kufa kwake.

 • DOC

  Makala imechukuliwa kutoka kwenye kitabu Ujumbe wa Uislamu cha Sheikh dk: Abdurrahman Abdul-Hakim Shiha, ndani yake kuna: Uislamu ni Dini ya huruma, katika Uislamu hakuna upadiri, na sio dini ya kuipenda dunia pekeyake, bali dunia na akhera.

 • DOC

  Makala imechukuliwa kutoka kwenye kitabu Ujumbe wa Uislamu cha Sheikh dk: Abdurrahman Abdul-Hakim Shiha, ndani yake kuna: Uislamu ni Dini ya ushauri kwa mambo yote ya dunia na akhera mambo ya ndani na yanjee- Uislamu ni dini yenye sheria kwa viumbe ili kila mtu apate utulivu na manufaa na mambo yao yaende vyema.

 • DOC

  Makala imechukuliwa kutoka kwenye kitabu Ujumbe wa Uislamu cha Sheikh dk: Abdurrahman Abdul-Hakim Shiha, ndani yake kuna: Uislamu ni Dini ya usawa kwa watu wote- ndani ya uislamu hakuna upadiri kama kwenye dini nyingine.

 • DOC

  Makala imechukuliwa kutoka kwenye kitabu Ujumbe wa Uislamu cha Sheikh dk: Abdurrahman Abdul-Hakim Shiha, ndani yake kuna: Uislamu ni Dini isiyo badilika kutokana na wakati- Uislamu ni dini inayo endana na zama na wakati- ndani ya Uislamu hakuna ubaguzi- Uislamu nidini iliyo na misingi madhubuti.

 • DOC

  Makala imechukuliwa kutoka kwenye kitabu Ujumbe wa Uislamu cha Sheikh dk: Abdurrahman Abdul-Hakim Shiha, ndani yake kuna: Uislamu ni Dini aliyo iridhia Mwenyezi Mungu- Uislamu ndio dini ya mwisho kutoka mbinguni- Uislamu umekamilisha sheria zote zilizo tangulia- Uislamu ndio dini ya ulimwengu mzima.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu