• PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Maliyalim, ni mkusanyiko wa walio silimu, anaelezea kila Mmoja kusilimu kwake, na kuelezea alivyo kuwa kabla ya kusilimu na alivyo kwa sasa baada ya kusilimu, na sababu ya kuingia kwao ktk Uislamu, kitabu muhimu sana kuwalingania wasiokuwa waisilamu, nilazima tusaidizane kusambaza kitabu hiki.

 • Uhuru wa dini Kiarabu

  PDF

  Kitabu cha sheikh Swaleh huswaini, akipinga vikali ripiti ya kimagharibi ikizungumzia utata kuhusu mada mbali mbali zinazo ambatana na uhuru katika dini ya kiislamu kwa ujumla na nchi ya saudia, akachambuwa na kuwafedhehesha.

 • Maana fupi ya Uislam Kifilipino(marnawi)

  PDF

  Kitabu kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Filipin ikielezea Maana ya dini ya Uislam kwa ufupi, na kubainisha kuenea kwake ktk nyanja zote za uhai na kubainisha nguzo sita muhimu.

 • PDF

  Kitabu kimefanyiwa tarjama kwa lugha ya Albania kikielezea maana ya dini ya Uislam kwa ufupi na kubainisha kuenea kwake kwa kila nyanja katika nyanja za uhai na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Kingereza kikielezea maana fupi ya Dini ya Uislamu na kubainisha kuenea kwake kwa kila nyanja za uhai na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • PDF

  Kitabu kimefanyiwa tarjama kwa lugha ya Madaghashkar kikielezea maana fupi ya Dini ya Uislamu na kuenea kwake kwa kila nyanja za uhai na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • PDF

  MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU

 • PDF

  Kitabu asili yake ni muhadhara alio utoa sheikh Muhammad Amin bin Muhammad Almuhtar Ash-shanqitwi (r.h), katika muskiti wa Mtume (s.a.w), kaelezea mambo kumi yanayo zunguka dini: 1-Tauhidi. 2-Mawaidha. 3-Tofauti ya matendo mema na mengineyo. 4-Kuhukumu kinyume na sheria ya Mungu. 5-Hali ya kijamii. 6-Uchumi. 7-Siasa. 8-Gogoro la makafiri kuwatawala waislamu. 9-Tatizo la udhaifu wa waislamu na uchache wa maandalizi dhidi ya maaduwi wao. 10-Gogoro la kutofautiana nyoyo katika jamii.

 • PDF

  KITABU HIKI NIMIONGON MWA VITABU MUHIMU KATIKA ZAMA HIZI, KINAZUNGUMZIA ITIKADI POTOVU YA USHIA KUPITIA VITABU VYAO VINAVYO TEGEMEWA.

 • PDF

  Kitabu kimefanyiwa tarjama kwa lugha ya Nibali kinaelezea mazuri ya Uislamu kwa dalili za kiakili na zakisheria, pia kinaelezea Madhehebu mbali mbali na kutoa dalili ndani ya Qur-an na katika Sunna sahihi.

 • PDF

  Kitabu kwa lugha ya kingereza kinakusanya maelekezo kwanjia ya picha kwa ufupi namna ya kutekeleza ibada ya hijja na umra kwa dalili ndani ya Qur-ani na mwenendo sahihi wa nabii Muhammad (s.a.w).

 • PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Ispania kikielezea kisa cha aliekuwa Padri namna alivyo upata uislamu, nakuwataka watu wengine wafikiria kwa Akili zao waache kusikiliza uongo wa watu dhidi ya Uislamu.

 • PDF

  Kitabu kilicho fanyiwa tarjama kwa lugha ya Ibria, kinaelezea mada muhimu sana, nayo ni Maana ya Uislamu kutokana na uadilifu ktk jamii na kupiga vita Dhulma, uadilifu ndio sababu ya kuleta Amani ktk jamii na nchi.

 • PDF

  Akili zetu pindi hazipo huru kwa kufikiria mambo na kuhukumu kwa hakika hatuwezi kufahamu uzuri au uhakika au jambo lolote, lakini ukiwa na fikra tofauti kuhusu Uislamu, au umesoma au kusikia kutoka kwenye chimbuko lisilokua laasili utaona mambo yaajabu kuhusu Uislamu na Waislamu, twakutaka usome kitabu hiki kitakubainishia uhakika wa Uislamu na baadhi ya mazuri yake.

 • PDF

  Kitabu kimefanyiwa tarjama kwa lugha ya Arminia kinazungumzia mada muhimu sana, nayo ni: Maana ya Uislamu kutokana na Uadilifu wakijamii na kupiga vita dhulma ili kusimamisha Amani katika taifa.

 • PDF

  Kitabu kwa lugha ya Kingereza kikielezea Maswali (40) kuhusu Uislamu, kutokana na utata kuhusu Uislamu.

 • PDF

  Kitabu kwa lugha ya Bangali, kinaelezea kuhusu Uislamu, nayo ni dini aliyo ichaguwa Mwenyezi Mungu kwa wajawake, na akawatuma mitume na kuteremsha vitabu, na akajaalia dini hiyo ni yenye kwenda na wakati kwa kila zama hadi siku ya mwisho, nilazima kwa kila mtu kufuata dini hiyo, na haitokubaliwa dini nyingine kinyume na Uislamu, na fadhilazake ni nyingi sana huwezi kuzihesabu...

 • Ni nini Uislamu? Kinepali

  PDF

  Kitabu kwa lugha ya Nebali kikizungumzia Uislamu kwa hoja sahihi naza kiakili.

 • PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Tashikia kikielezea nukta muhimu kuhusu Uislamu kwa wasiokuwa Waislamu, ikiwemo: Ni nini Uislamu, nani Mtume wa Waislamu, Waisilamu wanaamini nini.

 • PDF

  Hii ni sehemu ya maneno yanataja baadhi ya mambo yaliyo pokelewa katika Injil kutokana na dalili za Ukweli na Utume wa Muhammad (s.a.w).

Maoni yako muhimu kwetu