Utunzi wa kielimu

Haki za binadamu katika sheria za kiislamu

Kubainisha Haki za binadamu katika sheria za kiislamu, na msimamo wa uislamu kuhusu ugaidi, kwa lugha za kidunia zaidi ya (35).

Idadi ya Vipengele: 3

 • PDF

  Anazungumza Mtunzi katika makala haya kwa ufupi kuhusu haki za wafanyakazi ambazo wamepewa na Uislamu haki ambazo ni lazima viongozi kuziheshimu.

 • Usawa Bosnian

  PDF

  Anatuonyesha muandishi katika makala hii chimbuko la Usawa kupitia maneno ya Nabii Muhamad (s.a.w).

 • MP3

  Muhadhara mzuri kuhusu maana ya uhuru ktk Uislamu, na kujibu baadhi ya hoja kuhusu Uislamu ya kwamba hakuna uhuru ndani yake.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu