Utunzi wa kielimu

Haki za binadamu katika sheria za kiislamu

Kubainisha Haki za binadamu katika sheria za kiislamu, na msimamo wa uislamu kuhusu ugaidi, kwa lugha za kidunia zaidi ya (35).

Idadi ya Vipengele: 2

  • video-shot

    MP4

    Video hii inaelezea namna Uislamu ulivyo piga vita Ubaguzi kati ya viumbe.

  • PDF

    Haki za binadamu katika uislamu: Hakika Uislamu umedhamini haki za binadamu, na haki za kumiliki, na haki za kujitetea, na haki za kufanya mambo ya dini, na haki za usawa mbele ya kanunu, na haki nyingine tofauti nahizo, makali hii yazungumzia haki hizo kwa urefu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu