Utunzi wa kielimu

 • PDF

  Nafasi ya Mtume (s.a.w), ktk kuweka haki za binadamu: Ujumbe unao bainisha haki za binadamu ktk Uislamu, kwa namna alivyo pangilia Mtume (s.a.w), pia nafasi ya Maswahaba ktk kueneza hilo, na kutaja maneno ya wanachuoni wa zama hizi kuhusu mada hii.

 • PDF

  Haki za binadamu katika uislamu na picha mbaya iliyopo: Kwenye kitabu hiki kaelezea mtunzi haki za binadamu kwa mtazamo wa misingi miwili kwa waislamu nayo ni Qur-an na sunna.

 • PDF

  Uislamu na haki za kibinadamu kwa ujumla: Inazungumzia makala hii kuhusu haki za binadamu na chimbuko lake na tofauti zake katika kila umma, na kwamba kila umma ulikuwa na upungufu katika hili isipokuwa katika uislamu peke, ndio ulio kamilika kuhusu haki za binadamu, na akili inakubaliana na hayo...

 • PDF

  Kitabu hiki chazungumzia haki za binadamu kwa mtazamo wa sheria ya Uislamu, na historia ya haki za binadamu, na namna Uislamu ulivyo linda mambo (5) ya msingi na hikma yake na uhuru katika Uislamu na kuowanisha na sheria nyingine.

 • Uislamu na Utuu Bengali

  DOC

  Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: (Hakika mbora wenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni mcha Mungu hakika Mwenyezi Mungu ni mjizinMwenye habari), Hakuna mbora wa yeyote juu ya mwengine isipokuwa kwa kumcha Mwenyezi Mungu. na makala hii inaelezea mada hii kwa ufupi.

 • video-shot

  MP4

  Katika sehemu ya pili ya muhadhara huu anaendelea sheikh kutoa mifano iliyo hai katika maisha ya Mtume (s.a.w), inayoelezea alivyo jitahidi katika kuwaacha huru wa tumwa, wale waliyokuwa hawana mbele wala nyuma.

 • video-shot

  MP4

  Uhuri ni haki ya msingi ya kila mtu, matokea yanayo athiri, toka baada ya kuzaliwa kwake tu Mtume (s.a.w), alifanya bidii na kuonyesha ya kwamba Uislamu ni haki ya binadamu na kuwa huru, utapata majibu hayo katika muhadhara huu sehemu ya kwanza.

 • PDF

  Kitabu hiki kinabainisha Haki za binadamu katika uislamu, kwa mtu mmoja mmoja na kwa jamii na nchi kwa ujumla na upande wa siasa na uchumi.

 • MP3

  Muhadhara unabainisha ya kwamba Uislamu unapiga vita ubaguzi, na kuuondoa baina ya watu, na kwamba mbora mbele ya Mwenyezi Mungu ni mchamungu wao, na kwamba hakuna tofauti kati ya muarabu na asiekuwa muarabu, wala kati ya mweupe na mweusi, isipokuwa kwa uchamungu.

 • DOC

  Makala hii yaweka wazi ufahamu unao ambatana na haki za binadamu katika uislamu, ni miongoni mwa misingi iliojengwa ktk Uislamu kwa imara kabisa.

 • Haki ktk Uislamu Kifaransa

  MP3

  Kwa hakika binadamu akifahamu mali zake na haki zake na yaliyo wajibu kwake ktk haki za Mwenyezi Mungu na haki za waja ni bora kwake, na kuyafanyia kazi nikatika mambo muhimu naya wajibu, muhadhara huu waelezea haki hizo kwanjia ya Audio.

 • Haki za kijamii Kiarabu

  MP3

  Haki za kijamii: Uislamu umewatangulia wamagharibi katika kuhifadhi haki kwa namna yake yote, na thawabu kwa wenye kuzitekeleza na adhabu kwa wenye kuzivunja, kwa sababu ya kuvunja haki za kijamii matatizo yanakuwa mengi na jamii kuharibika.

 • PDF

  Haki za binadamu katika uislamu: Katika mada hii kuna ubainifu na uhakika wa Haki za binadamu kama uvumi ulivyo ktk zama hizi, pamoja na kuweka alama zake na maana zake na matokeo yake kwa mtazamo wa mizani ya Kiislamu.

 • PDF

  Haki za binadamu katika uislamu: Katika uchambuzi huu tutabainisha uhakika wa Haki za binadamu kama inavyo elezwa katika zama hizi, pamoja na kuelezea alama zake, na ufahamu wake, na matokeo yake, katika vipimo vya Uislamu.

 • DOC

  Makala hii yazungumzia Uhuru wa msingi kwa Binadamu ndani ya Uislamu

 • MP3

  Muhadhara mzuri kuhusu maana ya uhuru ktk Uislamu, na kujibu baadhi ya hoja kuhusu Uislamu ya kwamba hakuna uhuru ndani yake.

 • Katika Uislamu yatakiwa kila mtu apewe haki sawa na mwenzake bila ubaguzi wowote ule wanamume wapewe haki zao na wanawake pia wapewe hakizao kama sheria inavyo elekeza.

 • PDF

  Ndani ya Uislamu zipo haki za binaadamu wala hakuna dhulma ndani yake...

 • MP3

  Haki za binadamu katika uislamu

 • Ukabila Somalia

  MP3

  Ukabila ni jambo ambalo halitakiwi katika uislamu, hakuna ubora kwa rangi ya mtu wala familia yake wala cheo chake, mbora mbele ya Mwenyezi Mungu ni mchamungu tu.

Maoni yako muhimu kwetu