Utunzi wa kielimu

Haki za binadamu katika sheria za kiislamu

Kubainisha Haki za binadamu katika sheria za kiislamu, na msimamo wa uislamu kuhusu ugaidi, kwa lugha za kidunia zaidi ya (35).

Idadi ya Vipengele: 9

 • video-shot

  MP4

  Anuwani ya mada hii ni: Fadhila alizopewa mwanadamu, na kuitumia vizuri neema ya macho na ulimi.

 • video-shot

  KUHESHIMIYANA Kiswahili

  MP4

  Mada hii inazunguzia Mipaka ya kuheshimiyana baina ya waislam.

 • video-shot

  Hatua za uhai Kifaransa

  MP4

  Video imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Kifaranca, inaelezea hatua za kuumbwa mwanadamu kama ilivyo kuja katika Qur-an Tukufu.

 • video-shot

  Uhuru wa Binaadamu Kingereza

  MP4

  Katika mkutano huu kwa lugha ya Kingereza anajadili Dr. Jaffar Idris Mmoja ktk viongozi wa haki za binaadamu (Uhuru).

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara huu kwa lugha ya kingereza, anaelezea Sheikh: Yusuf Estes, ya kwamba katika Uislamu kuna namna nyingi nyingi, na katika muhadhara huu anazungumzia namna ya Uhuru.

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara huu kwa lugha ya kingereza, anaelezea Sheikh: Yusuf Estes, ya kwamba katika Uislamu kuna namna nyingi nyingi, na katika muhadhara huu anazungumzia namna ya Haki.

 • video-shot

  MP4

  Video hii inaelezea namna Uislamu ulivyo piga vita Ubaguzi kati ya viumbe.

 • video-shot

  MP4

  Katika sehemu ya pili ya muhadhara huu anaendelea sheikh kutoa mifano iliyo hai katika maisha ya Mtume (s.a.w), inayoelezea alivyo jitahidi katika kuwaacha huru wa tumwa, wale waliyokuwa hawana mbele wala nyuma.

 • video-shot

  MP4

  Uhuri ni haki ya msingi ya kila mtu, matokea yanayo athiri, toka baada ya kuzaliwa kwake tu Mtume (s.a.w), alifanya bidii na kuonyesha ya kwamba Uislamu ni haki ya binadamu na kuwa huru, utapata majibu hayo katika muhadhara huu sehemu ya kwanza.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu