Utunzi wa kielimu

 • PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Almania, kinaelezea kisa cha Mlinganiaji maarufu Yusuf Estes, kinaelezea namna alivyo ingia yeye na familia yake katika Uislamu.

 • PDF

  Kitabu chaelezea visa mbali mbali kuhusu badhi ya watu wa falsafa na fani mbali mbali waliyo tangulia na wazama hizi sababu iliyo wapelekeya kuingia katika Uislamu.

 • PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Maliyalim, ni mkusanyiko wa walio silimu, anaelezea kila Mmoja kusilimu kwake, na kuelezea alivyo kuwa kabla ya kusilimu na alivyo kwa sasa baada ya kusilimu, na sababu ya kuingia kwao ktk Uislamu, kitabu muhimu sana kuwalingania wasiokuwa waisilamu, nilazima tusaidizane kusambaza kitabu hiki.

 • PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Ispania kikielezea kisa cha aliekuwa Padri namna alivyo upata uislamu, nakuwataka watu wengine wafikiria kwa Akili zao waache kusikiliza uongo wa watu dhidi ya Uislamu.

 • Kwenye Nuru Kifurusi

  PDF

  Kitabu kwa lugha ya Farisi kinaelezea idadi ya waliyo ingia ktk Uislamu, na visa vya kusilimu kwao, na namna walivyo ijua Dini hii, na wakafuata njia iliyo nyooka.

 • PDF

  Kwa nini nimechagua uislamu? Kisa cha kweli alivyo silimu Askofu mmoja.

 • PDF

  Kitabu kizuri sana kaelezea mtunzi kisa cha kuingia kwake katikaUislamu.

 • PDF

 • PDF

  Vipi nimesilimu? Risala inaelezea mkusanyiko wa visa vya kusilimu baadhi ya viongozi wa dini, na kubainisha sababu za kusilimu kwao.

 • PDF

  Injil ndio ilio niongoza ktk Uislamu: kitabu Kitakatifu muhimu kinataja vipengele vya kumuashiria Nabii Muhammad (s.a.w), na kumzungumzia Nabii Mussa (s.a.w), na Nabii wa Mwisho. kisha kuonyesha ya kwamba Nabii aliyo ashiriwa ni Muhammad (s.a.w).

 • PDF

  Uislamu ndio chaguo letu: Kitabu hiki yatakiwa mazingatio kuhusu mafundisho ya Uislamu, na kuonyesha uhakika kutokana na tuhuma dhidi ya Uislamu kama ni Ugaidi na kuuchukia, na kwamba umemdhulumu Mwanamke na kumnyima haki zake.

 • PDF

  Grupu hili laelezea visa mbali mbali vya walioingia ktk Uislamu.

 • DOC

  Kwa nini nimechagua uislamu? Kisa cha kweli cha kusilimu Mmoja ktk mapasta.

 • PDF

  Njia ya kuelekea katika uislamu: Kitabu hiki kinakuongoza katika uzima wa milele, kinakuongoza katika Imani ya kumjua Mola wako alie kuumba, na kinakuongoza katika itikadi sahihi inayo kubaliana na akili yako na maumbile yako,utajua kupitia kitabu hiki mwanzo wa kuumbwa binadamu na mwisho wake, na hikima ya kuwepo kwake, na mengineyo. kitabu hiki kimeandaliwa kwaajili ya wasiokuwa waislamu, kwa maana hiyo utaona kipo kwa ufupi.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu