Utunzi wa kielimu

 • PDF

  Kitabu chaelezea visa mbali mbali kuhusu badhi ya watu wa falsafa na fani mbali mbali waliyo tangulia na wazama hizi sababu iliyo wapelekeya kuingia katika Uislamu.

 • MP3

  Mkusanyiko wa vipindi (kisa cha kuslimu swahaba), kilicho tolewa katika redio ya saudi arabia, kila kipindi kinagusia kuslimu swahaba miongoni mwa maswahaba watukufu, kipindi hiki hutolewa na dk: Hassani Habashi

 • video-shot

  MP4

  Muda mchache ulio pita kaingia katika uislamu kwa sababu ya aliyo yapata ndani ya Qur-ani kwa ukweli uliyopo ndani yake na kuthibitisha mambo ya kisayanse kwa karne ya 20, mambo yalikuwa hayajulikani kabla ya hapo, msomi huyu alikuwa haamini kuwepo Mungu, na alikuwa haamini dini yoyote, lakini mwishoni kafahamu ya kwamba Uislamu ndio dini sahihi, akaingia, na yeye kwa sasa anamuomba Mwenyezi Mungu amfishe akiwa Muislamu.

 • PDF

  Njia ya kuelekea katika uislamu: Kitabu hiki kinakuongoza katika uzima wa milele, kinakuongoza katika Imani ya kumjua Mola wako alie kuumba, na kinakuongoza katika itikadi sahihi inayo kubaliana na akili yako na maumbile yako,utajua kupitia kitabu hiki mwanzo wa kuumbwa binadamu na mwisho wake, na hikima ya kuwepo kwake, na mengineyo. kitabu hiki kimeandaliwa kwaajili ya wasiokuwa waislamu, kwa maana hiyo utaona kipo kwa ufupi.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu