Utunzi wa kielimu

 • video-shot

  MP4

  Wanatuelezea watu wanne Mpagani mmoja na wakristo wa tatu kuhusu kusilimu kwao muda ulio pita, kwenye kipindi cha (The Deenshow) kisa kifupi na kwamba waliupata Uislamu ndani ya nafsi zao.

 • video-shot

  MP4

  Katika kipindi hiki ataelezea sheikh Eddie sababu zinazo pelekea wanawake wengi kuingia ktk Uislam kuliko wanamume, na namna walivyo pata uhuru wa kweli na amani ndani ya Uislamu.

 • video-shot

  MP4

  Video hii kwa lugha ya Kingereza inazungumzia kisa cha kuslimu Kenneth, na maisha yake bada ya Kuslimu.

 • video-shot

  MP4

  Video kwa lugha ya Kingereza, kuna kisa cha kusilimu Dr. Laurence Brown, na kwanini amekataa Ukristo na kuingia ktk Uislamu?.

 • MP3

  Kisomo cha sauti kuhusu visa vya badhi ya wanawake waliyo ingia katika Uislamu.

 • video-shot

  MP4

  Mada ya video kwa lugha ya kingereza Sheikh Yusuf Estes kajibu maswali ya mwanamke wa kikristo kwa sababu gani kaacha ukristo na kuingia ktk Uislamu.

 • PDF

  Injil ndio ilio niongoza ktk Uislamu: kitabu Kitakatifu muhimu kinataja vipengele vya kumuashiria Nabii Muhammad (s.a.w), na kumzungumzia Nabii Mussa (s.a.w), na Nabii wa Mwisho. kisha kuonyesha ya kwamba Nabii aliyo ashiriwa ni Muhammad (s.a.w).

 • PDF

  Uislamu ndio chaguo letu: Kitabu hiki yatakiwa mazingatio kuhusu mafundisho ya Uislamu, na kuonyesha uhakika kutokana na tuhuma dhidi ya Uislamu kama ni Ugaidi na kuuchukia, na kwamba umemdhulumu Mwanamke na kumnyima haki zake.

 • video-shot

  MP4

  Mhadhiri : Bilal Philips

  Katika muhadhara huu anaelezea Sheikh Bilal Flipic kipindi cha utoto wake na njia yake ktk Uislamu.

 • PDF

  Grupu hili laelezea visa mbali mbali vya walioingia ktk Uislamu.

 • video-shot

  MP4

  Anatangaza ndugu James kusilimu kwake, kisha anatoa baadhi ya muongozo na nasaha anazo bainisha ndugu "The deen show" anaelezea ya kwamba mtu anapo ingia tu ktk Uislamu madhambi yake yote hufutwa.

 • PDF

  Makala yenye faida inabainisha safari ya Stevens kuelekea ktk Uislamu baada ya maswali mengi, Mwanadamu wakati wowote akifikiria ktk uhai wake na kifo chake hapana budi fikra hizo zimfikishe kwe Allah.

 • PDF

  Makala inamuelezea kisa cha kusilimu Dr. Benoist accepted, baada ya kusoma Qulhuwa Llahu, nayo ni makala kwa kila anaetaka kujua uhakika wa Tauhidi ktk Uislamu.

 • MP3

  kwa nini mapadiri wanaingia katika Uislamu kwa wingi? kwa sababu wanajua haki ipo wapi, wanaona hakuna ujanja wakusalimika na adhabu ya Mwenyezi Mungu zaidi ya kuingia katika Uislamu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu