Utunzi wa kielimu

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea kisa cha mwanamke alikuwa akiwatowa wanawake ktk Uislamu akjikuta ameingia yeye.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inatupa habari za safari ya mwanamke wa kihindi kuingia ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea Kisa cha kuslimu Bitre Sandrez ikielezea namna alivyo badili msimamo na akawa Muislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea Kisa cha kuslimu Mama Abdul-aziz, kama ifuatavyo: Namna alivyo gundua tofauti kati ya Mwenyezi Mungu na Uungu wa Nabii Issa (s.a.w), katika upekuzi wake na kusoma sana akagundua ya kwamba dini sahihi, haikubadilishwa ni Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inaelezea kisa cha kuslimu Noora mdogo wa umri, na ilivyokuwa pamoja na familia yake.

 • MP3

  Mkusanyiko wa vipindi (kisa cha kuslimu swahaba), kilicho tolewa katika redio ya saudi arabia, kila kipindi kinagusia kuslimu swahaba miongoni mwa maswahaba watukufu, kipindi hiki hutolewa na dk: Hassani Habashi

 • PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Maliyalim, ni mkusanyiko wa walio silimu, anaelezea kila Mmoja kusilimu kwake, na kuelezea alivyo kuwa kabla ya kusilimu na alivyo kwa sasa baada ya kusilimu, na sababu ya kuingia kwao ktk Uislamu, kitabu muhimu sana kuwalingania wasiokuwa waisilamu, nilazima tusaidizane kusambaza kitabu hiki.

 • PDF

  Hapana shaka yoyote juu ya historia ya swahaba mtukufu Salmani Al-farisy (r.a), kwa mazingatio yaliyomo, kwa sababu katika uhai wake kapata misukosuko sana na tabu kubwa, hadi kufikiwa kunasibishwa na familia ya Mtume (s.a.w), japo yeye ni kutokea Farisy, baada ya kutafuta haki kwa muda mrefu na tabu nzito mwisho kabisa kapata utamu wa kuingia katika hii dini.

 • PDF

  Mfano ya kiarabu unasema: (Uzuri wa mambo ujuwe kinyume chake) kisa cha huyu mwanamke kapitia daraja tatu Muhindi hanadini, kisha akamuamini Mwenyezi Mungu baadae, akaolewa na Mkristo! ikawa vurugu akaanza kutafuta haki, akaongozwa na Allah katika Uislamu, kwa sasa yupo njia panda: achaguwe Uislamu au abakie na mume?.

 • PDF

  Hestorya fupi ya maisha ya (Carlson), aliyekuwa mkristo akaendelea kutafuta ukweli, hadi kuingia ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala hii yaelezea kisa kizuri cha (Melech) Yahudi ambae kaelezea maisha yake ya kiyahudi na dini yao, kisha akataka Allah ajiepushe kidogo kidogo, hadi tukio la 11. September, ilikuwa ndio sababu ya kubadilika na kutafuta uhakika wa mambo, akaanza kuisoma Qur-ani na akajuwa Uislamu, Allah akamuongoza akaingia ktk dini.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inabainisha namna ya kujifundisha lugha ya Kiarabu ilivyo mpelekea (Mariano) kuingia ktk Uislamu.

 • PDF

  Marias Binti aliekuwa Mkatolik kaota ndoto ya kushangaza, ikawa ni alama kwake juu ya kuwepo Mwenyezi Mungu Mtukufu, ikawa ni sababu iliyo mpelekeya kuingia katika Uislamu, na makala hii yaelezea kisa chake.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea Kisa cha kuslimu Nichole Arel, na kutafuta kwake dini ya kweli hadi kuingia kwake ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inaelezea Kisa cha kuslimu Musa Caplan, akiwa na umri (15), inaelezea tofauti ya Uyahudi na Uislamu, ikawa ni sababu yeye kuingia ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inaelezea Kisa cha kuslimu Muhammed Umar Rao, baada ya kuwa aduwi mkubwa kwa Waislamu, akaanza Muhammed kuisoma Qur-ani kwa malengo ya kuwakosowa waislamu ktk vitabu vyao, akaendelea hadi kuingia ktk dini.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inaelezea kisa cha kuslimu Michael David Shapiro, alikuwa amezaka ktk kujuwa madhehebu mbali mbali, mwisho wake ikawa kuingia ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea Kisa cha kuslimu Maurice Alexander Gent, amepitia madhehebu mengi ktk Ukristo lakini hakukinaika na chochote.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea Kisa cha kuslimu Margaret Marcus, namna alivyo ingia rafiki yake kwanza ktk Uislamu, kisha namna yeye alivyo ingia baada yake.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea kisa cha kuingia mwanamke wa kikatolik ktk dini.

Maoni yako muhimu kwetu