Utunzi wa kielimu

 • video-shot

  MP4

  Wanatuelezea watu wanne Mpagani mmoja na wakristo wa tatu kuhusu kusilimu kwao muda ulio pita, kwenye kipindi cha (The Deenshow) kisa kifupi na kwamba waliupata Uislamu ndani ya nafsi zao.

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara kuhusu kusilimu wamagharibi anaelezea sababu ya kuingia wengi katika wanachuoni wa kimagharibi katika Uislam.

 • video-shot

  MP4

  Katika kipindi hiki ataelezea sheikh Eddie sababu zinazo pelekea wanawake wengi kuingia ktk Uislam kuliko wanamume, na namna walivyo pata uhuru wa kweli na amani ndani ya Uislamu.

 • video-shot

  MP4

  Video hii kwa lugha ya Kingereza inazungumzia kisa cha kuslimu Kenneth, na maisha yake bada ya Kuslimu.

 • video-shot

  MP4

  Video kwa lugha ya Kingereza, kuna kisa cha kusilimu Dr. Laurence Brown, na kwanini amekataa Ukristo na kuingia ktk Uislamu?.

 • video-shot

  MP4

  Mada ya video kwa lugha ya Kiyonani kajibu maswali sh: Yusuf Astes yaliyo ulizwa na mmoja ktk wanawake wa Kikristo kuhusu sababu ya kuacha Dini ya Unaswara na kuufanya Uislamu kuwa Dini.

 • video-shot

  MP4

  Mada ya video kwa lugha ya kingereza Sheikh Yusuf Estes kajibu maswali ya mwanamke wa kikristo kwa sababu gani kaacha ukristo na kuingia ktk Uislamu.

 • video-shot

  MP4

  Abdur Raheem Green Mmoja miongoni mwa Masheikh maarufu Duniani anatuzungumzia kusilimu kwake na sababu ya kuingia ktk Uislamu?

 • video-shot

  MP4

  Video hii yaelezea jambo lakusisimua wakati bwana mmoja alipoingia katika uisilamu kupitia mlinganiaji Yusus Astes.

 • video-shot

  MP4

  Mada ya video ya Sheikh Yusuf Estes akielezea namna alivyo silimu pamoja na familia yake.

 • video-shot

  MP4

  Kiongozi wa zamani anaelezea namna alivyo silimu.

 • video-shot

  MP4

  Video hii yahusu Kisa cha kuslimu Kohani wa kihindusi, inaelezea sababu iliyo mpelekea kuusoma Uislamu na kuingia, kisha akawa mlinganiaji mkubwa sana.

 • video-shot

  MP4

  Sheikh Yusuf Estesi, aliekua mkristo, anaelezea kwa ufupi namna alivyo silimu.

 • video-shot

  Wanatuelezea ndugu wengi namna walivyo pata njia ya kuelekea ktk Dini ya kweli.

 • video-shot

  MP4

  Mhadhiri : Bilal Philips

  Katika muhadhara huu anaelezea Sheikh Bilal Flipic kipindi cha utoto wake na njia yake ktk Uislamu.

 • video-shot

  MP4

  Katika picha hii anaelezea namna historia yake na namna alivyo ingia katika uislamu.

 • video-shot

  MP4

  Muda mchache ulio pita kaingia katika uislamu kwa sababu ya aliyo yapata ndani ya Qur-ani kwa ukweli uliyopo ndani yake na kuthibitisha mambo ya kisayanse kwa karne ya 20, mambo yalikuwa hayajulikani kabla ya hapo, msomi huyu alikuwa haamini kuwepo Mungu, na alikuwa haamini dini yoyote, lakini mwishoni kafahamu ya kwamba Uislamu ndio dini sahihi, akaingia, na yeye kwa sasa anamuomba Mwenyezi Mungu amfishe akiwa Muislamu.

 • video-shot

  MP4

  Mmoja wa waimbaji kipindi cha nyuma na sasa kawa mlinganiaji katika njia ya Mwenyezi Mungu, sikiliza kisa chake na ilikuwaje asilimu?

 • video-shot

  MP4

  Mmoja wa waimbaji kipindi cha nyuma na sasa kawa mlinganiaji katika njia ya Mwenyezi Mungu, sikiliza kisa chake na ilikuwaje asilimu?

 • video-shot

  MP4

  Mmoja wa waimbaji kipindi cha nyuma na sasa kawa mlinganiaji katika njia ya Mwenyezi Mungu, sikiliza kisa chake na ilikuwaje asilimu?

Ukurasa : 2 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu