Utunzi wa kielimu

 • PDF

  Mada hii inazungumzia: Matendo mema katika siku kumi za Dhulhija imezungumzia ubora wa masiku kumi ya Dhulhija, na ubora wa matendo mema katika masiku hayo, pia imezungumzia sifa za takbira na aina zake.

 • PDF

  Mada hii inazunguzia umuhim na ulazima wa kuwatendea wema wazazi wawili.

 • NI NANI KAMA MAMA? Kiswahili

  PDF

  Mada hii inazunguzia ubora wa Mama kwa mwanae, katika jamii na hata mbele ya Allah (S.w)

 • PDF

  Haki za muislamu: Hakika muislamu anazo haki juu ya muislamu mwenzake, haki zilizo bainishwa na sheria, na makala hii inakumbusha haki hizo, yafaa kwa kila muislamu azikumbatie.

 • PDF

  Khutba ya Ijumaa imezungumzia Undugu wa Uislamu ni mkubwa sana kuliko undugu wa nasabu, nilazima kufanya sababu za kupendana na kuwa kitu kimoja, na kujiepusha na sababu za kugombana.

 • PDF

  Kutoka kwa Abihuraira (r.a), amesema: amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w): Haki za muislamu juu ya muislamu mwenzake ni sita, pakaulizwa nizipi hizo ewe mtume wa Allah? akasema: Utapo kutana nae msalimie, na atapo kuita muitike, na atapo kutaka nasaha mnasihi, na atapo toa chafya akamshukuru Allah muombee dua, na atapo umwa mtembelee, na atapo fariki kamzike. Hizi ndio haki zamsingi zilizo wekwa na uislamu kwa wafuasi wake, ili waja wa Allah wawe ndugu, makala hii imeelezea kwa ufupi haki hizi na namna ya kuzifanyia kazi katika maisha ya kila siku.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu