Utunzi wa kielimu

 • MP3

  Kalazimisha Mwenyezi Mungu Mtukufu juu ya waja wake kumtii yeye, na akaharamisha kumuasi yeye, yeyote atakaemtii atafaulu duniani na akhera, na mwenye kumuasi amekula hasara duniani na akhera, na miongoni mwa mambo aliyo wajibisha Mwenyezi Mungu kwa waja wake: Haki za waislamu wao kwa wao, yeyote atakae zitekeleza kafaulu duniani na akhera, katika muhadhara huu kuna ubainifu wa haki hizi.

 • MP3

  Katika zama hizi husemwa sana kuhusu haki za binadamu, maneno haya husemwa sana na umoja wa mataifa, na nchi za kimagharibi, na kwahakika waislamu wanazo haki pia, -haki za binadamu- na neno hili wengi huzania ya kwamba limeanzishwa na nchi za kikafiri, Mwenyezi Mungu ndie alimjaalia binadamu kuwa na haki, kama alivyo jaalia kuwa na mambo ya wajibu.

 • PDF

  Haki za muislamu: kasema mtunzi: fikra ya hii bahthi inakusanya hadithi zilizo tolewa na sunni na imamiyya zinazo ambatana na mada ya (haki za muislamu), malengo zifanyiwe kazi zote kwa njia ya kisheria....

 • MP3

  Haki ya muislamu juu ya muislamu mwenzake: katika muhadhara huu kabainisha sheikh ya kwamba kila muislamu anayo haki juu ya ndugu yake na kuna dalili nyingi zinazo bainisha hayo.

 • MP3

  Haki ya muislamu juu ya muislamu mwenzake: muhadhara kazungumza sheikh juu ya Haki ya muislamu juu ya muislamu mwenzake, na namna alivyo usia Mtume (s.a.w), juu ya kuchunga haki za waislamu.

 • PDF

  Kitabu hiki kimekusanya Yasiyo kuwa na budi kuyajuwa katika uislamu kwanjia nyepesi kutokana na itikadi na ibada na adabu na mengineyo, na msomaji atakuwa na fikra ilio wazi kuhusu dini ya kiislamu, na inawezekana akafahamu hukumu nyingi sana na amri nyingi na makatazo mengi.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu