Utunzi wa kielimu

 • PDF

  Makala imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Talhu, imekusanya utangulizi kwa ufupi kuhusu Uislamu kwa kupitia nguzo za Uislamu tano na nguzo za Imani sita, pia kubainisha maana ya Ibada katika Uislamu, yote hayo kwanjia iliyo nyepesi.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Kingereza inazungumzia nukta (30) kuhusu Uislamu ktk nyanja tofauti na kwanjia nyepesi mfano: Maana ya Uislamu, na Nguzo zake, na Vyanzo vyake, kisha kujibu baadhi ya Utata.

 • PDF

  Maana fupi ya Dini ya Uislam na kubainisha ueneaji wake kwa kila nyanja za uhai pamoja na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • PDF

  Makala imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Kanadaia, inawabainishia wasiokuwa waislamu misingi ya Uislamu na tofauti zake na mambo yake muhimu.

 • Maana ya Uislam Kenya Rwanda

  PDF

  Makala kwa lugha ya Kinyarwanda ikibainisha kwa ufupi maana ya Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Tashamia, ikielezea kwa ufupi dini ya Kiislamu, na kubainisha kueneya kwake kwa kila nyanja za uhai na kuelezea nguzo sita muhimu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Holande anabainisha mtunzi wake ya kwamba Uislamu ni dini isiyo kwenda kinyume na maumbile wala akili.

 • PDF

  Makala hii yazungumzia namna ya kufahamu hukumu, na sunna ni Ufunuo, na maoni ya Maswahaba yana umuhimu ktk kuifahamu dini, nani anayo haki ya kuweka sheria ktk Dini.

 • Ni nini Uislamu? Slovenia

  PDF

  Kipeperushi kwa lugha ya Suluvak ikielezea kuhusu Uislamu na Imani na Ihsani.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Ta'milia, ikielezea maana ya Uislamu kwa njia nyepesi kabisa kwa wasiokuwa waisilamu kwa njia ya maswali na majibu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Espania ikielezea ya kwamba Hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu Mmoja tu, na kwamba huu ndio misingi wa Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Espania inaelezea kwamba ujumbe rasmi ktk Uislamu ni ujumbe ule ule wamsingi ktk Dini za mbinguni kwa sababu wanaozaliwa huzaliwa ktk Uislamu, na kuangalia baadhi yanayo itakidiwa ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Ispania inazungumzia utangulizi kwa ufupi kuhusu maana ya Uislamu, na kumfahamu Mwenyezi Mungu katika Uislamu.

 • Misingi ya uislamu Kingereza

  DOC

  Kwaufupi ni kwamba hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu Mmoja tu, pamoja na sherehe kwa urefu katika kipengele cha kwanza kumuamini Mwenyezi Mungu.

 • Ni nini Uislamu? Kingereza

  DOC

  Inazungumzia makala hii ya kwa mba ujumbe rasmi katika Uislamu ndiyo ujumbe rasmi katika dini za mbinguni, na kwamba chimbuko ni moja.

 • PDF

  Makala imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Holande ikielezea ndondoo kuhusu huruma katika Uislamu na uadilifu wake baina ya watu bila ya ubaguzi wa rangi wala kabila.

 • PDF

  Ujumbe mfupi unabainisha mazuri katika dini ya Uislamu.

 • PDF

  Kipeperushi kilicho kusanya maana ya Uislamu kwa ufupi, na nguzo zake, na nguzo za Imani.

 • PDF

  Sherehe ya maana ya uislamu: katika makala haya tunaelezea maana ya uislamu na nguzo zake kwa ufupi, uislamu ni dini iliyo ridhiwa na Mwenyezi Mungu ili ifuatwe na nguzo zake ni tano: 1- kukubali kwa moyo na kutamka kwa ulimi ya kwamba hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu pekeyake, na Muhammad (s.a.w), ni mja wake na mtume wake. 2- kusimamisha swala. 3- kutoa zakka. 4- kufunga mwezi mtukufu wa ramadhani. 5- kwenda hijjah kwa mwenye uwezo.

 • PDF

  Huu ndio Uislamu kwa ufupi: Maneno mafupi yenye kueneo kuhusu maana ya Dini ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake, na mazuri yake na malengo yake, kwa hakika ni Ufunguo kwa mwenye kutaka kuujua Uislamu au kuingia.

Ukurasa : 3 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu