Utunzi wa kielimu

 • MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Bambaria, ukielezea maana ya Uislamu, na kubainisha uhalisia wa uislamu sahihi, na kwamba katika malengo ya Uislamu ni: kutengeneza nyoyo,kujenga familia ya kiislamu, na kutengeneza jamii iliyo bora, kwa kufanya hivyo watu wote watakuwa bora.

 • MP3

  Muhadhara kwa lugha ya akania, ndani yake kuna ubainifu kuhusu nini Uislam

 • MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Akania, ndani yake kuna ubainifu wa maana ya uislamu, na kuweka wazi uhakika wake.

 • MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Sanjo, ukielezea yafuatayo: 1- Hali ya waarabu kabla ya uislamu, 2- Ujumbe wa Manabii wote (s.a.w), kwa watu wao. 3- Nguzo za Uislamu.

 • MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Fursi ukielezea Uislamu ni Dini ya Uadilifu.

 • Uislamu ni... Kingereza

  MP3

  Mada ya Audio kwa lugha ya Kingereza ikielezea umuhimu wa Muiislamu kutafuta elimu, na kubainisha njia sahihi ya kutafuta elimu, na tabia ya mwenye kutafuta elimu ya kisheria, na yaliyo wajibu kwa Muislamu kujifundisha.

 • Uislam Kiswahili

  MP3

  Muhadhara huu unazungumzia uislam,historia ya uislam. na ujumbe wa mwanadamu,na dini ya haki kwa allah,na chanzo cha kukengeuka mwanadamu,na wito wa uislam kwa ulimwengu.

 • MP3

  Muhadhara huu wamuelezea Nabii Muhammad (s.a.w), na tabia zake na nafasi yake kwenye nyoyo za Waislamu na ulimwenguni kote. na kubainisha hakika ya Mtume (s.a.w), kwa wasiyokuwa Waislamu, kama zinazo fanyika mbinu mbali mbali kumtia kasoro. kaelezea mtowa mada kuhusu huruma yake na kusamehe kwake na uadilifu wake na tabia yake (s.a.w), na kabainisha njia sahihi ya kumuiga ktk kuondowa matatizo ktk jamii.

 • MP3

  Unajuwa nini kuhusu Uislamu?: Maana kwa ufupi kuhusu Dini ya Uislamu na kubainisha kuenea kwake kwa nyanja zote za uhai, na kuhusu Itikadi na Mwenyezi Mungu na Qur-ani Tukufu na Nabii Muhammad (s.a.w).

 • MP3

  Muhadhara alioutoa sheikh (r.h), katika muskiti riyadh, kazungumzia mema ya uislamu pamoja na kutoa mifano kwa ufupi, kisha akajibu badhi ya maswali.

 • MP3

  Uislamu ni dini ya akili: Katika muhadhara huu sheikh anabainisha ya kwamba dini ya uislamu ndio dini ya kumpwekesha Mwenyezi Mungu, inayo wafikiana na akili ya binadamu, kwa hakika uislamu umeleta sheria zenye hikima zinazo kwenda sambamba na akili ya banadamu na maumbile yake.

 • MP3

  Mada ya audio safi sana kuna maswali muhimu na mepesi: Uislamu ni nini?.

 • MP3

  maana ya Uislam: Maneno kwa ufupi na yaliyo kusanya maana ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake, na mema yake na makusudio yake, ni ufunguo kwa mwenye kutaka kufahamu Uislamu sahihi.

 • MP3

  Ukitaka kuujua Uislamu kwa dk 15 sikiliza Audio hii ambaya inajibu maswali mengi yanayo ulizwa na wasio kuwa waislamu ktk kufahamu Uislamu.

 • MP3

  Muhadhara waelezea ya kwamba Uislamu ni dini ya Mapenzi kinyume na wanavyo sema maaduwi wa Uislamu, Uislamu haukubalianai na Ugaidi, kwa sababu ugaidi ni uaduwi na chuki ya ubinaadamu.

 • MP3

  Muhadhara ukizungumzia maana ya Dini ya Uislamu na dalilizake juu ya kuwepo muumbaji na ukweli wa utume wa Muhammad (s.a.w), na kubainisha uhakika ulio elezwa na Qur-an kuowanisha na elimu ya kisasa, muhadhara mzuri sana unawafaa wasiokua waisilamu.

 • MP3

  Mzunguko huu waelezea maana ya Uislamu, na kuondoa utata kuhusu Uislamu, Mada imetolewa na sh: Abu Omar Zahrani.

 • MP3

 • MP3

  Kitabu hiki kinasherehesha Dini ya Uislamu kwa ufupi.

 • MP3

  Ubainifu wa baadhi ya mambo ambayo nilazima yajulikane kama nguzo tano za Uislamu na Imani.

Ukurasa : 2 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu