Utunzi wa kielimu

 • Dini sahihi Norway

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Kitabu kizuri sana kinawafaa wasiokua waislamu wanaopenda kuangalia dalili na kutumia akili safi katika kutafuta Dini sahihi.

 • Dini sahihi Hungarian

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Kitabu hiki chazungumzia: Maana ya Uislamu kwa ufupi, na kwamba ndio dini sahihi Mungu hakubali tofauti na Uislamu, na kuelezea dini nyingine na vyanzo vyake na ubatilifu wake, Uhakika wa Nabii Issa na Mama yake (s.a.w), Uislamu ni dini ya Ulimwengu mzima na hikima ya kuumbwa Majini na Binaadamu.

 • PDF

  Kitabu hiki chafichua badhi ya uelewa mbaya kuhusu uislamu, nakusahihisha kwa njia ya kielimu ilio jengeka juu ya misingi ya kielimu ikiegemezwa katika kitabu na sunna.

 • Ni nini Uislamu? Armenian

  PDF

  Ni nini Uislamu? Kitabu kina peji 50 kinaelezea maana ya Uislamu kwa lugha ya Orminia.

 • Maana ya Uislam Kivetinam

  PDF

  Maana ya Uislam: Risala hii kuhusu Uislamu kwa mtazamo wake mpana, na kubainisha uhakika wa Uislamu na upana wake, na majibu kuhusu uvumi unao enezwa katika Uislamu, na kitabu hiki kinafaa kwa yule anaetaka kufahamu ukweli kuhusu Uislamu.

 • PDF

  Uislamu ni Itikadi na Ibada: Baada ya mtu kua Muislamu yatakiwa awe na Itikadi nzuri kuhusu Mwenyezi Mungu na Mitume wake na Malaika zake na Vitabu vyake na siku ya mwisho, pia kusali na kufunga na kutoa zaka na kufunga mwezi wa Ramadhani na kwenda Hijjah kwa mwenye uwezo.

 • Huu ndio Uislamu Kifilpino(tagalogo)

  PDF

  Kitabu hiki kimesherehesha kwa urefu kuhusu Uislamu kwa lugha ya China.

 • PDF

  Uislamu ndio dini peke anayo iridhia Mwenyezi Mungu kwa viumbe vyote na hato kubali dini nyingine tofauti na hiyo, na ndio dini inayo weza kuondoa matatizo yaliyopo duniani, katika kitabu hiki tutaeleza badhi ya mambo katika nguzo za uislamu na imani na yalio ya kheri katika uislamu.

 • Dini sahihi Kitigrinya

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Kitabu hiki kinasherehesha kwa ufupi Dini ya Uislamu, na kwamba ndio dini sahihi, Allah hakubali dini nyingine tofauti na Uislamu. na kutaja dini nyingine pia kubainisha ubatili wake. Uhakika wa Issa na Mama yake (s.a.w), Uislamu ni Dini yakimataifa, na hikma ya kuumbwa viumbe.

 • Ni nini Uislamu? Malayalam

  PDF

  Kitabu hiki kinafichuwa badhi ya ufahamu wa kimakosa kuhusu Uislamu na kusahihisha kwa njia ya kielimu na kwa misingi ya kisomi iliyo chukuliwa kutoka katika Qurani na sunna.

 • PDF

  Uislamu misingi yake na vyanzo vyake: amesema mtunzi Allah amuwafikishe: nimejaribu kuelezea kwenye kitabu hiki kwa ufupi maana ya uislamu na misingi yake mikubwa na yanayo takiwa katika kulingania ndani ya uislamu.

 • Uislamu ni... Kivetinam

  PDF

  Uisilamu ni: Kitabu kizuri kaelezea mtunzi wake maana ya Uisilamu kwa ufupi, na kabainisha ya kwamba ndiyo dini sahihi, na ndiyo dini pekee yakufuatwa.

 • PDF

  Kurejea : Bilal Philips

  Kitabu hiki chaelezea badhi ya maswali kuhusu Uislamu na dini yao mengi wanauliza wasiyokuwa waislamu.

 • PDF

  Maana ya Dini ya Uislam: Kitabu hiki kinamuongoza mwanadamu anaetaka kuifikia haki, kwa njia ya ufupi na nyepesi ya dini ya Uislamu.

 • PDF

  Ni nini Uislamu?: Kitabu hiki kinawafaa wasiokuwa waislamu, kinawapa elimu na mada mbali mbali kuhusu uislamu na waislamu ili ujuwe makusudio ya kuwepo katika uhai huu.

 • Amegundua Uislamu Kingereza

  PDF

  Amegundua Uislamu: Dalili kwa ufupi kuhusu Uislamu na mafundisho yake na kubainisha itikadi ya Uislamu, na kuubainisha Uislamu kwa ufupi, pia nasaha kwa Waislamu na wasiokuwa Waislamu, kwa kufuata njia za wema walio tangulia ktk Umma huu.

 • Maana ya Uislam Kingereza

  PDF

  Maana ya Uislam: Maneno mafupi na yenye kueneo kuhusu maana ya dini ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake na mazuri yake na malengo yake, ni funguo kwa mwenye kutaka kufahamu Uislamu kwa usahihi.

 • PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Kitabu hiki chawafaa wasiokuwa waislamu, kinawapa picha kuhusu uislamu na waislamu na baadhi ya mambo yaliyo thibitishwa na Qur-ani na sunna.

 • Huu ndio uhakika Kingereza

  PDF

  Huu ndio uhakika: Kitabu hiki kinazungumzia elimu ya kisasa kwa mtazamo wa Qur-ani Tukufu na Sunna sahihi.

 • PDF

  Uislamu ndio chaguo letu: Kitabu hiki yatakiwa mazingatio kuhusu mafundisho ya Uislamu, na kuonyesha uhakika kutokana na tuhuma dhidi ya Uislamu kama ni Ugaidi na kuuchukia, na kwamba umemdhulumu Mwanamke na kumnyima haki zake.

Maoni yako muhimu kwetu