Utunzi wa kielimu

 • Maana ya Uislam Kingereza

  PDF

  Maana ya Uislam: Kitabu hiki chatakwa mazingatio kunamafundisho kuhusu Uislamu, na kufichua yanayo semwa sana na maaduwi dhidi ya Uislamu kama niugaidi na kuuchukia na kwamba umemdhulumu Mwanamke haukumpa haki zake na mengi zaidi miongoni mwa tuhuma dhidi ya Uislamu.

 • PDF

  Uislamu ni Dini ya maendeleo na utamaduni: Uislamu umeweka misingi ya maendeleo na utamaduni, utayapata hayo kwa njia nyingi mfano: kwenye siasa, ukombozi wa miji ktk Uislamu, uchumi ktk Uislamu, namna Uislamu unavyo simamia dhulma na kuweka visase, na mengineyo tofauti na hayo.

 • PDF

  Kitabu hiki kimekusanya maana ya dini ya uislamu kwa ufupi

 • Ni nini Uislamu? Dan marki

  PDF

  Kitabu hiki kimeelezea maana ya Dini ya Uislamu kwa ufupi.

 • PDF

  Kitabu kina picha ndani yake kutoka kwenye taasisi ya Qatar ya mambo ya utamaduni wa kiislamu kikielezea maana ya Dini ya Uislamu kwa ufupi.

 • PDF

  Kitabu kwa njia ya picha kikielezea maana kwa ufupi ya Dini ya Uislamu.

 • PDF

  Hiki ni kitabu kilichotayarishwa kwa lengo la kuwapatia wasomaji, suluhisho la matatizo wanayoyapata watu wengi wanapotaka kufahamu ni ipi Dini ya Haki.

 • PDF

  Kitabu hiki kinawafaa wasiokuwa Waisilamu, kinatoa elimu kuhusu Uislamu na Waisilamu na baadhi ya Miujiza iliyo thibiti ktk Qur-ani na Sunna.

 • PDF

  Kitabu kinaelezea kwa ufupi itikadi sahihi na nguzo za dini na adabu mbali mbali ktk Uislamu.

 • PDF

  Uislamu nai dini ya Amani: Kinazungumzia kitabu hiki mada muhimu sana, nayo ni ufahamu halisi wa Uislamu kutokana na uadilifu katika jamii, na kupiga vita dhulma, ndiyo msingi wa kusimamisha amani katika nchi.

 • PDF

  Uislamu ni dini ya amani: kitabu hiki kimekusanya mada muhimu, nayo ni ufahamu wa uislamu kuhusu uadilifu wa kijamii na kupiga vita dhulma ili kusimamisha amani katika jamii nzima.

 • PDF

  Kitabu kinaelezea maana ya Uislamu kimetafsiriwa kwa lugha ya kingereza (Muangaza juu ya Uislamu).

 • PDF

  Maana ya ujumla ya dini ya kiislamu: kitabu hiki kina milango (12), kinazungumzia kwa ufasaha njia za peponi na motoni na maana ya uislamu na kumuamini Allah na siku ya mwisho, na qadari, na ghaibu, na malaika, na majini, na mitume, na vitabu.

 • PDF

  Maana ya Uislam kwa ufupi: Maana ya Dini ya Uislam kwa ufupi na kubainisha kuenea kwake kwa kila nyanja za uhai, na kubainisha nguzo zake muhimu sita.

 • PDF

  Uislamu ni dini ya amani: Kitabu hiki kinazungumzia mada muhimu sana, nayo ni kuufahamu Uislamu kutokana na uadilifu wake ktk jamii na kupambana na dhulma na ndio sababu kubwa ya kusimamisha Amani ktk jamii.

 • PDF

  Ujumbe mfupi kutoka kwa umoja wa waisilamu wa Korea, unaelezea maana ya Uislamu.

 • Dini sahihi Kifaransa

  DOC

  Mwandishi : Bilal Philips

  Dini sahihi: Kitabu kizuri sana kwa wale wanaotafuta haki, kitabu kinatwaongoza watafiti ktk njia sahihi, na kinaelezea kutafakari juu ya uhakika wa Dini, na kuelezea uhusiano kati ya Mola na Viumbe.

 • Dini sahihi Yoruba

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  kitabu hiki kinazungumzia dini ya uislamu kwa ufupi, na kwamba ndio dini ilio sahihi na Mwenyezi Mungu hakubali dini tofauti na hiyo, kuonyesha dini na misingi mingine na kuonyesha ubatili wake, ukweli wa nabii Issa na Mama yake (s.a.w), ulimwengu wa dini ya kiislamu na hikima ya kuumbwa majini ni watu.

 • PDF

  Ni nini Uislamu?: Kitabu hiki chawafaa wasiyokuwa Waisilamu, kinaelezea Uislamu na Waisilamu, na baadhi ya mambo yaliyo thibitishwa na Qur-ani na Sunna.

 • Dini sahihi Bulgarian

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  kitabu kizuri kinawahusu wasiokuwa waislamu ambao wanajihimiza kuangalia dalili na falsafa sahihi kwaajili ya kutafuta dini ilio sahihi.

Maoni yako muhimu kwetu