Utunzi wa kielimu

  • PDF

    Maana ya Uislam kwa ufupi: Maana ya Dini ya Uislam kwa ufupi na kubainisha kuenea kwake kwa kila nyanja za uhai, na kubainisha nguzo zake muhimu sita.

  • PDF

    Maana fupi ya Uislamu: Kubainisha uhakika na ukamilifu wa Dini ya Uislamu kwa njia ya ufupi, malengo ya sheria, nguzo za Imani, za Uislamu, pia aliyo ya halalisha Allah na aliyo ya haramisha ndani ya Dini hii tukufu.

  • PDF

    Kubainisha maana ya Uislamu, na kutaja nguzo zake, kisha kubainisha tofauti kati ya Uislamu na Imani na Ihsani, kisha kutaja ukamilifu wa Imani na mambo yake, na kwamba Imani ni ktk Amali njema na kwamba inazidi kwa kufanya mema na hupungua kwa kufanya maasi.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu