Utunzi wa kielimu

  • MP3

    Muhadhara ukizungumzia maana ya Dini ya Uislamu na dalilizake juu ya kuwepo muumbaji na ukweli wa utume wa Muhammad (s.a.w), na kubainisha uhakika ulio elezwa na Qur-an kuowanisha na elimu ya kisasa, muhadhara mzuri sana unawafaa wasiokua waisilamu.

  • DOC

    Matangazo yanayo elezea Uislamu kwa wasio kuwa waislamu.

  • PDF

    Ni nini Uislamu?: Kitabu hiki chawafaa wasiokua waislamu, kinatoa elimu kuhusu Uislamu na Waislamu na baadhi ya mambo ya kielimu ya kweli ambayo yamethibitishwa na Qur-an na Sunna.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu