Utunzi wa kielimu

  • Uislamu Uzbek

    PDF

    Makala kwa kifupi ikielezea kuhusu uislamu na kwamba dini ya uislamu ina madaraja matatu: uislamu, na imani na ihsani, pamoja na kubainisha tofauti iliyopo, na mwisho nimeelezea kuhusu nguzo tano za uislamu na maana ya shahada mbili, maneno haya yamechukuliwa kutoka katika kitabu cha sheikh Muhammad bin Ibrahim Tuwaijiry mukhtaswar kiqhul-islam.

  • PDF

    Maana fupi ya Uislamu: Maana fupi ya Dini ya Uislamu na kubainisha kuenea kwake kwa kila nyanja za uhai pia kubainisha nguzo zake sita muhimu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu