Utunzi wa kielimu

 • video-shot

  YOUTUBE

  Mada hii Inaelezea kwamba Uislam upo katika Maumbile ya mwanadamu na ndio asili alio umbiwa mwanadamu, kisha akataja dalili nyingi kuhusu hilo.

 • video-shot

  YOUTUBE

  Mada hii Inaelezea kuwa Uislam ndio dini ya haki na kwamba hataingia peponi ispokuwa mwislam, kisha ikabainisha kuwa Uislam ndio njia ya kuingia peponi.

 • video-shot

  Maana ya Uislam Kivetinam

  MP4

  Mada hii inazungumzia kisa cha kijana ambae kaingia katika Uislamu kwa sababu ya Uaminifu aliyoukuta kwa baadhi ya watu katika nchi ya Saudia.

 • video-shot

  Maana ya Uislamu Kingereza

  MP4

  Kaelezea Sheikh kwenye muhadhara huu baadhi ya mambo ya msingi kuhusu Uislamu na Waislamu.

 • video-shot

  Ni nini Uislamu? Sinhalese

  MP4

  Muhadhara kwa lugha ya Senhali, kuna ubainifu wa mambo yafuatayo: Wajibu wetu nikujua na kusoma dini yetu tukufu: Uislamu. Tauhidi ya kumpwekesha Mwenyezi Mungu katika Uislamu, na umuhimu wake.

 • video-shot

  KUITUMIKIA DINI Kiswahili

  MP4

  MADA HII INAZUNGUMZIA UWAJIBU NA UBORA WA KUITUMIKIA DINI NA MALIPO ATAKAYO PATA ATAKAE KUFA KATIKA KUITUMIKIA DINI YA UISLAM.

 • video-shot

  Ni nini Uislamu? Kingereza

  MP4

  Mhadhiri : Bilal Philips

  Maana ya Uislamu kwa ufupi na misingi yake na mema yake na hestoria yake tangu zama za Nabii Adam (s.a.w), hadi kwa Muhammad (s.a.w), Uislamu ni unyenyekevu na kutii yote aliyo kujanayo mtume kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

 • video-shot

  MP4

  Kwenye Muhadhara huu kabainisha Sh: Khaled Yasin ya kwamba ni wajibu wetu kuwakinaisha watu kuhusu Uislamu kimatendo, na tusitosheki pekeyake kutoa dalili tu, yatakiwa mifano mbali mbali kama: Biashara ya Riba, kunywa pombe, sigara, madawa ya kulevya, kujitoa muhanga, Uislamu ni Dini yenye ufumbuzi wa yote hayo na matatizo ya maisha kwaujumla.

 • video-shot

  Maana ya uislamu Kingereza

  MP4

  Picha ya kuona kwa lugha ya kingereza, anabainisha mlinganiaji Yusuf Astes kwa kifupi maana na hakika ya uislamu mtukufu.

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara kwa lugha ya Talga, ukielezea maana ya dini tukufu ya Uislamu, na kwamba ndio dini ya haki na ndio dini ya Mitume wote.

 • video-shot

  MP4

  Anasherehesha Yusuf Estes miongoni mwa Uislamu ni Amani.

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara huu unawafaa wasiokuwa waisilamu, unatoa elimu ya msingi kuhusu Uislamu na Waisilamu.

 • video-shot

  Dini ya Uislamu Kingereza

  MP4

  Mada ya video kwa lugha ya Kingereza inaelezea kuhusu Dini ya Uislamu kwa ujumla na mafunzo yake na mema yake na kujibu baadhi ya utata kuhusu Uislamu kutoka kwa makafiri Mayahudi na Wakristo.

 • video-shot

  YOUTUBE

  Kwenye mada hii ya video kwa lugha ya Korea inazungumzia Maana ya dini ya Uislamu kwa ufupi.

 • video-shot

  YOUTUBE

  Kaelezea Sh: ktk Khutba hii kuhusu Uislamu na mafunzo yake kwa ujumla na mazuri yake yasiyo na mfano kwa ufupi.

 • video-shot

  YOUTUBE

  Ujumbe unapendeza kuusikiliza hasa waislamu kabla ya wengine.. ili wajuwe neema waliyomo ndani yake na waweze kujibi watapo kuwa wakiulizwa, kwa sababu muislamu nimlinganiaji kwa mwengine.

 • video-shot

  Ni nini Uislamu? Kingereza

  MP4

  Mada hii yatakiwa ionwe na waislamu kabla ya wengineo... ili wafahamu neema walionayo na waweze kujibu watapo ulizwa na yeyote, kwa sababu muislamu ni mlinganiaji.

 • video-shot

  Dini ya Uislamu Kingereza

  MP4

  Mhadhiri : Bilal Philips

  Muhadhara unaelezea Uislamu na daraja zake na matunda yake na mazuri yake na vitenguzi vyake.

 • video-shot

  Maana ya Uislam Malayalam

  MP4

  Video fupi anaelezea mtoa mada Uislamu kwa ufupi na kwa wepesi.

 • video-shot

  MP4

  Maana ya Uislam kwa wasiokuwa Waisilamu: Muhadhara huu unawafaa wasiokuwa waisilamu, unatoa elimu ya msingi kuhusu Uislamu na Waisilamu.

Ukurasa : 2 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu