• PDF

  Makala imetafsiriwa kwa lugha ya Almania ikielezea ufahamu wa kimakosa kuhusu kuingia katika Uislamu ikiwemo: 1: Mwenyezi Mungu kafanya wepesi katika kuingia kwenye Uilsamu, na wala hajaweka uzito wowote, 2:Tofauti ya ufahamu wa kimakosa, unaoweza kumzuwia mtu kuingia katika Uislamu, 3: Mdhambi yaliyo tangulia, na khofu kwa yaliyo tangulia, au kutompata mjuzi katika waislamu, haifai kabisa kumzuwiya mtu yeyote anaetaka kuingia katika Uislamu.

 • PDF

  Makala imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Talhu hujibu baadhi ya maswali yanayo enezwa kuhusu Uislamu.

 • PDF

  Makala imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Talhu kuhusu majibu (7) yanayo enea kuhusu Uislamu.

 • PDF

  Makala imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Talhu, imekusanya utangulizi kwa ufupi kuhusu Uislamu kwa kupitia nguzo za Uislamu tano na nguzo za Imani sita, pia kubainisha maana ya Ibada katika Uislamu, yote hayo kwanjia iliyo nyepesi.

 • PDF

  Makala imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Tal-hu, inabainisha ni nini Uislamu, na kuvunja hoja mbovu zinazo enezwa na uvumi unao sambazwa kuhusu Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Kingereza inazungumzia nukta (30) kuhusu Uislamu ktk nyanja tofauti na kwanjia nyepesi mfano: Maana ya Uislamu, na Nguzo zake, na Vyanzo vyake, kisha kujibu baadhi ya Utata.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea Kisa cha kuslimu mwanamke Mkatholikin kutokea Ungarn.

 • PDF

  Makala iliyo tafsiriwa kwa lugha ya Almania inaelezea Kisa cha kuslimu Muhubiri wa Kikatolik

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Swabria, inaelezea namna ya Muisilamu kupambana na vitu asivyo weza kuvimiliki katika jamii tunayo ishi nayo, na kwamba Uislamu pekee ndiyo mdhamini wa haki za binadamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea Kisa cha kuslimu Anjelin Maklarin Mmarekani, ikielezea namna alivyo ingia katika Uislamu tangu miaka 6 na akabadilisha jina kwa sasa anaitwa Sumayya bint Jowan.

 • PDF

  Makala yametafsiriwa kwa lugha ya Almania yanazungumzia kisa cha kusilimu mtoto wa Askofu na kubainisha alivyo ingia ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala imetafsiriwa kwa lugha ya Almania inaelezea kisa cha kusilimu mwanafunzi wa chuo kikuu katika nchi ya Almania.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Holande inazungumzia maana na makusudio ya Uhai ktk Uislamu.

 • PDF

  Maana fupi ya Dini ya Uislam na kubainisha ueneaji wake kwa kila nyanja za uhai pamoja na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inaelezea nafasi ya tabia njema katika Uislamu na kuwafanyia vizuri wasiokuwa Waislamu, ilikuwa ni sababu ya kuvutiwa William na kuslimu kutokana na tabia nzuri alizo fanyiwa na rafiki yake.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania, inaelezea kisa cha Mtu wa Holande, aliye ijuwa dini ya haki.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inaelezea kisa cha Sara Bokker, Mmarekani, na namna alivyo kuwa ktk maisha ya Miami baada ya kuingia ktk Uislamu, na akapata uhuru wa hali ya juu, na kujuwa utaratibu wa mavazi ya mwanamke ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Kanadaia, inawabainishia wasiokuwa waislamu misingi ya Uislamu na tofauti zake na mambo yake muhimu.

 • Maana ya Uislam showall

  PDF

  Makala kwa lugha ya Kinyarwanda ikibainisha kwa ufupi maana ya Uislamu.

 • Haki za wanyama showall

  PDF

  Anaelezea mtunzi kwenye makala hii kwa ufupi kuhusu haki ambazo Uislamu umewapa wanyama, na maneno hayo yametoka katika kitabu (Muhamma Rasulu-ll-Llah).

Ukurasa : 12 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu