• Uislamu ni... showall

  MP3

  Mada ya Audio kwa lugha ya Kingereza ikielezea umuhimu wa Muiislamu kutafuta elimu, na kubainisha njia sahihi ya kutafuta elimu, na tabia ya mwenye kutafuta elimu ya kisheria, na yaliyo wajibu kwa Muislamu kujifundisha.

 • MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Kifaris, ukibainisha ukamilifu wa sheria ya Uislamu.

 • PDF

  Kitabu kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Holande kinazungumzia Maana ya Uislamu kutokana na uadilifu ktk jamii na kupiga vita dhulma, na ndio nsingi wa kusimamisha Amani ktk jamii na kwenye nchi.

 • video-shot

  Maana ya Uislam showall

  MP4

  Mada hii inazungumzia kisa cha kijana ambae kaingia katika Uislamu kwa sababu ya Uaminifu aliyoukuta kwa baadhi ya watu katika nchi ya Saudia.

 • PDF

  Kitabu kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Ispania kikielezea Haki za binadamu katika uislamu.

 • PDF

  Maana fupi ya Dini ya Uislam na kubainisha ueneaji wake kwa kila nyanja za uhai pamoja na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • PDF

  Kitabu kimefanyiwa tarjama kwa lugha ya Farisi, kimekusanya alama na matukio yaliyo mfanya asilimu, na alikuwa mkristo kazaliwa Pakistani.

 • Dini ya Uislamu showall

  PDF

  Kitabu kimefanyiwa tarjama kwa lugha ya Urusi, kinazungumzia kuhusu dini ya uislamu na ubora wake, kinawafaa waisilamu na ambao sio waisilamu, Mtunzi kajibu maswali yanayoenea sana, mfano: kwa nini Allah katuumba? Mitume niwakina nani, na zipi kazi zao? Muhammad niyupi na utamjuaje? ni sifa gani yatakiwa awenazo muislamu? waisilamu wametanguliza nini ktk kuhifadhi dini yao? namengine tofauti na hayo.

 • PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Almania, kinaelezea kisa cha Mlinganiaji maarufu Yusuf Estes, kinaelezea namna alivyo ingia yeye na familia yake katika Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inaelezea nafasi ya tabia njema katika Uislamu na kuwafanyia vizuri wasiokuwa Waislamu, ilikuwa ni sababu ya kuvutiwa William na kuslimu kutokana na tabia nzuri alizo fanyiwa na rafiki yake.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania, inaelezea kisa cha Mtu wa Holande, aliye ijuwa dini ya haki.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inaelezea kisa cha Sara Bokker, Mmarekani, na namna alivyo kuwa ktk maisha ya Miami baada ya kuingia ktk Uislamu, na akapata uhuru wa hali ya juu, na kujuwa utaratibu wa mavazi ya mwanamke ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Kanadaia, inawabainishia wasiokuwa waislamu misingi ya Uislamu na tofauti zake na mambo yake muhimu.

 • Maana ya Uislam showall

  PDF

  Makala kwa lugha ya Kinyarwanda ikibainisha kwa ufupi maana ya Uislamu.

 • Haki za wanyama showall

  PDF

  Anaelezea mtunzi kwenye makala hii kwa ufupi kuhusu haki ambazo Uislamu umewapa wanyama, na maneno hayo yametoka katika kitabu (Muhamma Rasulu-ll-Llah).

 • PDF

  Makala imetafsiriwa kwa lugha ya Almania, inaelezea kisa cha kijana wa Marekani amegundua alama nyingi alizo ziagiza Mwenyezi Mungu, hadi Allah akamkirimu kuingia katika Uislamu.

 • MP3

  Mlolongo wa mihadhara kwa lugha ya Kifaris, mada: Haki za binadamu katika uislamu, ndani yake kuna maelezo namna Uislamu ulivyo mtukuza mwanadamu, na kulinda haki zake, ulipitishwa kwenye studio za redio ya saudi arabia.

 • PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Ibrania, namna ya kuingia ktk Uislamu, ni muongozo kwa wasio kuwa waislamu na kuwalingania ktk uislamu na kubainisha fadhila zake, kisha akataja nguzo za uislamu na dalili zake ktk Qur-an na sunna.

 • video-shot

  MP4

  Kaelezea Sheikh katika maneno yake maana ya Uislamu na ubora wake na mazuri yake kwa ufupi.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea kisa cha kuslimu Mwanamke Myonani, alie lelewa katika maisha ya kuuchukiya Uislamu.

Maoni yako muhimu kwetu