Utunzi wa kielimu

 • Kifaransa

  DOC

  Mwandishi : Bilal Philips

  Dini sahihi: Kitabu kizuri sana kwa wale wanaotafuta haki, kitabu kinatwaongoza watafiti ktk njia sahihi, na kinaelezea kutafakari juu ya uhakika wa Dini, na kuelezea uhusiano kati ya Mola na Viumbe.

 • Kifaransa

  MP3

  Muhadhara huu wamuelezea Nabii Muhammad (s.a.w), na tabia zake na nafasi yake kwenye nyoyo za Waislamu na ulimwenguni kote. na kubainisha hakika ya Mtume (s.a.w), kwa wasiyokuwa Waislamu, kama zinazo fanyika mbinu mbali mbali kumtia kasoro. kaelezea mtowa mada kuhusu huruma yake na kusamehe kwake na uadilifu wake na tabia yake (s.a.w), na kabainisha njia sahihi ya kumuiga ktk kuondowa matatizo ktk jamii.

 • Kifaransa

  PDF

  Kwa nini nimechagua uislamu? Kisa cha kweli cha kusilimu Mmoja ktk mapasta.

 • Kifaransa

  PDF

  Huu ndio Uislamu kwa ufupi: Maneno mafupi yaliyo enea yakizungumzia Dini ya Uislamu misingi yake na nguzo zake na mazuri yake na malengo yake, nakubainisha namna ya kutawadha na swala, ni ufunguo kwa mwenye kutaka kufahamu na kuingia ktk Uislamu.

 • Kifaransa

  MP3

  Makusudio ya mlolongo huu ni kuelezea maana ya uislamu: ni zipi nguzo zake na vyanzo vyake? na asili ya mlolongo huu umechukuliwa kutoka katika kitabu (Mafunzo ndani ya Qur-an) sheikh Swaleh bin Fauzan Al-fauzan Allah amuhifadhi.

 • Kifaransa

  YOUTUBE

  Muhadhara kwa lugha ya kifaranca, nao ni wa tatu katika mtiririko wa mihadhara ilio tafsiriwa kuonyesha ubora wa Uislamu, ameutowa Sheikh: Khalid bin Abdurrahman Shaiya kando kando ya mji wa paris.

 • Kifaransa

  MP4

  Muhadhara kwa lugha ya kifaranca, nao ni wa pili katika mtiririko wa mihadhara ilio tafsiriwa kuonyesha ubora wa Uislamu, ameutowa Sheikh: Khalid bin Abdurrahman Shaiya kando kando ya mji wa paris.

 • Kifaransa

  MP4

  Muhadhara kwa lugha ya kifaranca, nao ni wa kwanza katika mtiririko wa mihadhara ilio tafsiriwa kuonyesha ubora wa Uislamu, ameutowa Sheikh: Khalid bin Abdurrahman Shaiya kando kando ya mji wa paris.

 • Kifaransa

  MP4

  Video imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Kifaranca, inaelezea hatua za kuumbwa mwanadamu kama ilivyo kuja katika Qur-an Tukufu.

 • Kifaransa

  MP3

  Kwa hakika binadamu akifahamu mali zake na haki zake na yaliyo wajibu kwake ktk haki za Mwenyezi Mungu na haki za waja ni bora kwake, na kuyafanyia kazi nikatika mambo muhimu naya wajibu, muhadhara huu waelezea haki hizo kwanjia ya Audio.

 • Kifaransa

  DOC

  Makala hii yaelezea Mazuri ya Hijja... Ndugu zangu kwa kweli ktk ibada tukufu ya Hijja kuna mengi sana mazuri hata uongee vipi huwezi kuyamaliza ikiwemo namna watu wanavyo litaja sana jina la Allah usiku kwa mchana, Maskini na Tajiri kuvaa nguo aina moja, watu kusaidiana kwa kubwa na dogo. nk...

 • Kifaransa

  DOC

  Anasema Mwenyezi Mungu Mkarim: (Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu,ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kuwabashiria kwa Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio wazi!). Aswaaf: (6) na Nabii Muhammad (s.a.w), ndie Nabii pekee ambae katumwa baada ya Nabii Isa (s.a.w), na wala hawakiri wakristo ya kwamba yupo Nabii aliekuja baada ya Nabii Isa (s.a.w), na sisi kwa hili tunathibitisha ya kwamba Isa na Mussa (s.a.w), walimbashiri Nabii Muhammad (s.a.w), atakuja baada yao, na patakuwa vilevile dalili miongoni mwa dalili za kitabu kitakatifu kama kilivyo bainisha kitabu hiki kitukufu ambacho chafaa kuwa muongozo kwa kila Mkristo na Myahudi...

 • Kifaransa

  PDF

  Ujumbe kwa ufupi unazungumzia ushahidi mbali mbali wa ukweli kuhusu Uislamu na Qur-an Tukufu na Mtume mwema, na historia yake na utawala wake, kutoka kwa wasiokuwa waislamu, wakiwemo wanasiasa, washairi, wasomi, askari, wanamume na wanawake, na wale waliyoingia katika uislamu.

 • Kifaransa

  PDF

  Swali kalijibu Sheikh Muhammad Swaleh Munajjid- Allah amuhifadhi, linasema: (Uislamu ulianza lini? na kuna muda gani kati ya Nabii Issa na Muhammad (s.a.w), ).

 • Kifaransa

  MP3

  Hijja kuelekea ktk mji wa Makkah ni moja ktk nguzo tano za Uislamu, nayo ni ibada ndani yake kuna mkusanyiko wa ibada nyingi za kimwili na kimoyo na mali, nilazima kuitekeleza kwa mwenye uwezo wa kimwili na kimali kwa umri mara moja. Amesema Allah Mtukufu: (Na kwa ajili ya Mwenyezi Mungu imewajibikia watu wahiji kwenye Nyumba hiyo, kwa yule Mwenye uwezo njia ya kwenda. Na atakaye kanusha basi Mwenyezi Mungu si mhitaji kwa walimwengu). Al-Imran: (97).

 • Kifaransa

  MP3

  Kitabu hiki kwa njia ya audio kinaweka wazi itikadi sahihi ya Uislamu ambayo Mitume (s.a.w), wote wameilingania, na kuwabainishia wasiokua waislamu namna ya kuingia katika Uislamu.

 • Kifaransa

  MP3

  Kisa cha kweli kabisa cha mtu aliekua anatafuta haki, kutoka mji kwenda mji mwengine, na kutoka ktk dini kwenda dini nyingine, hadi alipo pata dini ya kweli, kisa kizuri sana cha kusisimua, ndani yake kuna elimu tele inayoweza kukusaidia kuijua haki, muhadhara unafaida unawahusu wasiokuwa waislam.

 • Kifaransa

  DOC

  Makala ikielezea maana ya Uislamu na malengo ktk uhai.

 • Kifaransa

  PDF

  Kuingia katia uislamu: Mtunzi kaandaa kipeperushi hiki kuwa njia ya kuingia katika Uislamu, kwa kuelezea maana ya Uislamu kwa ufupi na mema yake na ubora wake.

 • Kifaransa

  PDF

  Uislamu ni dini ya maumbile: Kitabu hiki kinawafaa wasiokuwa Waislamu, kwa sababu kinataja utukufu wa Uislamu na namna ya kufika katika haki kwa kutumia akili safi.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu