Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa, Nimkusanyiko wa tv za kislam, zinazo rusha matangazo yake kwa lugha tofauti za Africa, ujumbe wa chanel hizo : -Nikuleta Taadhira nzuri katika jamii. -Nikuyatambulisha uzuri wa uislam na sheo chake. - Kuhifadhi tabiya njema za uislam. Yote hayo nikupitiya vipindi vinavyo onyeshwa ambavyo nimuhimu katika maisha, na vinakidhi mahitaji tofauti ya kibinadamu. -nikuitika mahitaji ya mtazamaji.