• Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 10978

  Taasisi ya kidaawah ambayo inaendeshwa na watu waliojitolea na michango ya wahisani, imeanzishwa kwa maelekezo yaliyotolewa na Shekh Abdul-aziz Bin Abdallah Bin Bazz Mufti wa Saudi Arabia.(Allah amrehemu)

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 4024

  Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa, Nimkusanyiko wa tv za kislam, zinazo rusha matangazo yake kwa lugha tofauti za Africa, ujumbe wa chanel hizo : -Nikuleta Taadhira nzuri katika jamii. -Nikuyatambulisha uzuri wa uislam na sheo chake. - Kuhifadhi tabiya njema za uislam. Yote hayo nikupitiya vipindi vinavyo onyeshwa ambavyo nimuhimu katika maisha, na vinakidhi mahitaji tofauti ya kibinadamu. -nikuitika mahitaji ya mtazamaji.

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 449

  Malengo ya wizara na siasa zake: 1-Kukitumikia kitabu cha Mwenyezi Mungu, kukisoma, kukihifadhi, kukifaham na kukisambaza. 2-Kuwalingania watu katika uislam na kuwaongoza katika kheri na kuilinda heshima maadili ya uislam. 3-Kusaidia nchi zenye waislam na walinganiaji wachache na taasisi za kiislam duniani. nk.

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 156

  Tovuti ya vitabu vya kiislam: Ni tovuti inayokusanya vitabu vingi vyenye manufaa katika lugha tofauti, na vitabu vinavyo tegemewa kutoka katika ofisi mbalimbali za da’awah.

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 133

  Tovuti ya kidaawa ya islamic-invitation Inayo ongeza mada za kidaawa tofauti kwa lugha tofauti.

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 102

  Tovuti maalum ya Chuo kikuu cha kiislam cha Madina

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 100

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 73

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 79

  -Ni ofisi inayojishughulisha na da’awah iyopo Ummu Alhamam katika mji wa Riyadh

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 60

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 24

  T Ni taasisi ya kiislam inayojihusisha na elimu na da’awah, pia hutafsiri khutba za Misikiti mitukufu ya Makka na Madina katika lugha mbalimbali na kuzitoa kwa waislam duniani kupitia intaneti.

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 57

  Nitovuti ya kiislam inayo jihusisha na kubainisha ukweli kuhusu marawafidhwa(Shia)

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 17

  Chama cha aal-na alashab Kuanzishwa kwake:ilianzishwa jumuiya ya aal-na alashab katika nchi ya ufalme wa Bahrain Uamuzi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii No(32) mwa 2006 M. Muono wetu:Kuwapenda watu wa familia ya mtume na maswahaba zake nikatika kumpenda Mtume (Alayhi swalatu wassalam). Ujumbe wetu:Tunafanya jitihada za kusahihisha ufahamu potovu yanayo husiana na mafungamano ya familia ya mtume ilio twaharika na maswahaba zake watukufu. Malengo yetu:Nikusambaza urithi wa familia ya mtume ilio twaharika na maswahaba zake watukufu,kwa yale yanayo endana na cheochao cha juu kwa waislamu. Kuonyesha Mahusiano ya undugu baina ya familia ya mtume ilio twaharika na maswahaba zake watukufu,nakupandikiza apenzi ya kuipenda familiya ya mtume na maswahaba zake katika nafsi za waislam. Kudhihirisha majukumu ya familia ya mtume na maswahaba zake katika kuutumikia uislam,kutokana na kushikamana kwao na Quraan tukufu,na Sunna za mtume (swala Allahu alayhi wasalama) Kukuza mshikamano wa taifa kwa njia imani potofu zilizo wazi katika mawazo ya baadhi ya Waislamu kwasababu ya familia ya mtume na maswahaba zake watukufu. Katika Matoleo ya Jumuiya:Kuwalinda familia ya mtume na maswahaba zake watukufu. Ushindi wa Allah mwenye sifa ya kutoa bure katika kuzungumzia ubora wa familia ya mtume na maswahaba zake watukufu.-

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 16

  Ni tovuti inayo jihusisha na kusambaza mada tofauti za kida’awa kwa lugha ya kiswahili

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 3

 • Kiswahili

  Idadi ya Vipengele : 1

  Radio Ihsani FM: Ni redio ya kiislam iliyoanzishwa kwa ajili ya kuelimisha jamii, na inafanya kazi chini ya taasisi ya Answar Muslim Youth Center Tanga Tanzania.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1