Majibu Kuhusu Arafa Na Iddi Al- Dhha

Maelezo

1- Mada hii inazungumzia Siku ya Arafa, maana yake na umuhimu wa kuomba dua katika siku hiyo, na amejibu kuhusu utata juu ya siku ya arafa na siku ya Iddi al Adhha nawale wasiofunga siku ya arafa bali wanafunga siku ya kuchinja.
2- Mada hii inazungumzia Majibu ya utata wa Arafa na hijja, amebainisha kuwa hija ilikuwepo tangu wakati wa nabii Ibrahim haikuwa faradhi, amefafanua mafungaamano ya Arafa na mwezi Dhulhijah, na Arafa ya mtu wa China na Est Africa, na mafungamano ya swala ya iddi na kupiga mawe na kuchinja kwa mahojaji .
3- Mada hii inazungumzia Majibu ya utata wa Arafa na hijja, amebainisha kuwa watu wanafuata mahujaji katika takbira, na kuchinja ili wafuate watu wa mina, na ametaja Qauli za wanachuoni kuhusu mafungamano ya hija na matendo ya wasiokuwa mahujaji.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: