Mambo Yanayo Batilisha Swala
Mhadhiri : Abubakari Shabani Rukonkwa
Kurejea: Yasini Twaha Hassani
Maelezo
Mada hii inazunguzia mambo yanayo batilisha swaumu ikiwemo kuzungumza katika swala, na kucheka, na kula katika swala, pia amezungumzia mambo ambayo yanaweza uharibu swala.
Mada hii inazunguzia mambo yanayo batilisha swala, ikiwemo kunywa katika swala na kuonekana uchi katika swala, amezungumzia mambo yanayo pelekea kuonekana uchi kwa wanaume na wanawake katika swala.
- 1
Mambo Yanayo Batilisha Swala 1
MP3 25.9 MB 2019-05-02
- 2
Mambo Yanayo Batilisha Swala 2
MP3 22.5 MB 2019-05-02
Utunzi wa kielimu: