Kuihesabu Nafsi
Wahadhiri : Shahidi Muhamad Zaid - Abubakari Shabani Rukonkwa
Kurejea: Shahidi Muhamad Zaid
Maelezo
1. Mada hii inazungumzia Umuhimu wa kuwa mchamungu na hasara za kukosa uchamungu kisha akaelezea kuwa Mwaka mpya nimwaka wa kuihesabu Nafsi.
2. Mada hii imezungumzia ufupi wa umri wa mwanadamu, nakwamba ameumbwa kutokana na masiku, kisha akabainisha kuwa katika kuihesabu nafsi nikujuwa mema aliyo yafanya, na kwamba kuikaguwa nafsi nikatika alama ya Uchamungu.
3. Mada hii inazungumzia miongoni mwa kuihesabu nafsi ni kuihesab nafsi na kujuwa chanzo cha uovu wake, na kwanini inapata uzito wa kuswali! Kisha amezungumzia umuhimu wa kujuwa uhalali na uharamu wa vyakula vyetu, na kwamba mtu asie swali nikafiri.
4. Mada inazungumzia Miongoni mwa kuihesabu nafsi nikutekeleza ibada ya swala, na familia yote, na kwamba swala ndio funguo za rizki, kisha ameeleza hali ya watu na swala zao pindi wanapo safiri zao, pia ameleza umuhimu wa kuhesabu mali ili kuzitolea zaka.
- 1
MP3 30.5 MB 2019-05-02
- 2
MP3 20.17 MB 2023-19-12
- 3
MP3 10.3 MB 2023-19-12
- 4
MP3 14.47 MB 2023-19-12
Utunzi wa kielimu: