Janga la Umbeya

Maelezo

1. Mada hii inaelezea: Maana ya kusengenya (Umbeya) na kwamba ni katika madhambi makubwa, kisha amebainisha sifa za watu wenye umbeya, na kwamba nimtu washari, na ataadhibiwa katika kaburi lake.
2. Mada hii inaelezea hatuwa za kufanya katika kutibu maradhi ya Umbeya, na katika hatuwa hizo ni kuthibitisha habari unazo zipata, kisha akaeleza kuwa waganga wa kienyeji(Washirikina) na wachawi nikatika wanao ongoza kwa kusengenyaji(Umbeya).

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: