عرض المواد باللغة الأصلية

أعلام وشخصيات

عدد العناصر: 139

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa Misri mwenye sauti tamu, na mwenye kibali (ijaza) cha kumasomo visomo aina kumi, na ana nakala kadhaa za Qur'ani kwa riwaya mbalimbali.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa Morocco kipofu Mustafa maghribi, ambae husifiwa Morocco kuwa ni sheikh wa wasomaji, alizaliwa kwenye kijiji cha Craki kiongozi wa watoto Amrah Daaira bin Ahmed wilaya ya Satat mwaka 1964.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Kazaliwa Libya, kachukua nafasi ya pili kwenye mashindano ya kila mwaka ya Qur'ani Tukufu unaofanyika kwanye Emirate (Dubai).

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa Algeria, na yupo na Koran yenye kutegemewa na Wizara ya Mambo ya Kidini Algeria kwa upokezi wa WARSH kutoka kwa Naafi kwanjia ya Asbahaani.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Shekh Saidi Nyange:

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa Morocco.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji maarufu wa Morocco.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Kiongozi wa Taasisi ya Elimu Saudi ya Qur'an Tukufu na Sayansi yake, na imamu wa msikiti wa Amiri: Abdullah bin Mohammed - Atiiq - Riyadh .

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa Misri, naye ni imam na khatwibu wa msikiti wa Mujamma'a Dubai Uwekezaji.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Shirzad Bin Abdul Rahman Bin Twaher Bin Hasan: Amezaliwa mwaka 1968 kaskazini mwa Iraq, amesoma kwa Mashekh mbalimbali wa Iraq miongoni mwao ni Shekh Abdullatwif Bin Khalil Aswufy, na Shekh Alhafidh Ally Bin Hasan Alwaswaby, na Shekh Alhafidh Almuqry Abdul Razaq Muhammad Umaarah, na alikua Imamu katika Misikiti mingi katika Nchi ya Iraq, Yemen na Imarat.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Muhammad Shaaban Abuu Qarn: Ni msomaji Mmisri, amezaliwa mwaka 1984, alipata shahada yake ya tajweed na elimu ya sheria katika chuo cha Azhar.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa asili ya Bosnian, na imamu wa msikiti wa Zagreb, Croatia.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Profesa wa somo la Hadith katika Chuo Kikuu cha Dar Al Uloom katika wilaya ya Deoband India, na Rais wa Taasisi ya Wasomi India - kubwa na kongwe ya Kiislamu Hindi binafsi

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Imad Zuhair Abdulqadir Hafidh: Amezaliwa katika mji wa Madina mwaka 1382 Hijiria, akapata elimu ya udokta katika chuo kikuu cha kiislam Madina mwaka 1412 Hijiria, alikua Imamu na khatwib katika Msikiti mkuu wa Manaratayn, na Msikiti wa Qubah, na alikua Rais katika jumuiya ya kuhifadhi Qur'an tukufu katika mji wa Madina.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Jazzai Bin Flaih Alswuweylh: Amezaliwa mwaka 1969, ni mmoja kati ya wasomaji maarufu katika Nchi ya Kuwait, na alimaliza masomo yake ya sheria na Qur'an na tajweed katika chuo kikuu cha Kuwait.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Shekh Yahya Ahmed Alhalily: Amezaliwa katika kijiji cha Alhalilah katika mji wa Swana'a Yemen mwaka 1952, alijiunga na Halaqa ya kuhifadhi Qur'an tukufu katika Msikiti Mkuu wa Swana'a na akakamilisha kuhifadhi Qur'an tukufu mwaka 1962, kisha akasoma elimu ya visomo saba kwa wanachuoni tofauti mwaka 1973, na alifanya kazi ya kufundisha Qur'an tkufu tangu mwaka 1970, pia alikua Imamu na khatwib katika Msikiti mkuu wa Tahrir katika mji wa Swana'a Yemen.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa nchi ya Kuwait.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Shekh Basil Bin Abdul-Rahman al-Rawi: Amezaliwa Iraq katika mji wa Baghdad mwaka 1953, alimaliza masomo yake katika chuo kikuu cha Baghdad katika kitivo cha kanuni na siasa mwaka 1975 na alipata nafasi ya kwanza wakati huo, na wizara ya mambo ya nje ilimuomba afanye kazi kama diplomasia mwaka 1977, na akaacha kazi mwaka 1990, akashughulika na kusoma Qur'an kuihifadhi na kuifundisha.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji waki Saudi.