Umoja Wa Kweli

Maelezo

1- Makala hii inazunguzia: Umoja wa kweli amezungumzia kuhusu umuhimu wa kujifunza dini na na faida za mshikamano pia amebainisha matunda ya umoja, na umoja ni suna ya mtume (s.a.w).
2- Makala hii inazunguzia: Umoja wa kweli amezungumzia maana ya umoja na umoja wakweli katika Quraan na suna, pia amezungumzia mishikamano ilio haramishwa na Allah, pia amebainisha maana ya kamba ya Allah.
3- Mada hii imebainisha misingi ya Ahlu sunna waljamaa (Suni waljamaa), na umuhimu wa kuijuwa, miongoni hiyo, msingi wakwanza ni kuamini nguzo zote za imani, msingi wapili nikwamba: imani nikusema na vitendo inazidi kwa kufanya ibada na kupunguwa kwa kufanya maasi.
4- Mada hii imebainisha misingi ya Ahlu suna waljamaa, ikiwemo: uharam wa kumkufurushi muislam, na niwajibu kumtii kiongoza wa waislam, na niharam kuwasema vizuri maswahaba na kuto kuwatukama maswahaba wamtume (s.a.w), amezungumzia itikadi za mashie katika maswahaba.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: