Kubadilika Kwa Neema Na Kuwa Adhabu

Maelezo

1- Mada hii inazungumzia: Hatari ya kukufuru neema na namna Mwnyezi Mungu alivyo angamiza baadhi ya watu baada ya kukufuru neema za Allah, pia imezungumzia jinsi Mwenyezi Mungu alivyotimiza neema zake juu ya waja wake, neema zilizo wazi na neema zilizo fichika
2- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa neema kubwa ni neema ya Uislam na neema ya kuletwa Mtume Muhammad s.a.w, pia imezungumzia, hatari ya kumuasi Allah ni sababu ya kukosekana kwa Amani, na rizki na kuanguka Uchumi

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu