Ukweli

Maelezo

1- Mada hii inazungumzia: Ubora wa mtu kuwa mkeli, na kwamba ukweli ni katika sharti za laa Ilaha ila Lllah, na ukweli ni utulivu wa nafsi bali uongo ni mashaka, pia imezungumzia umuhimu wa kufanya mambo kwa ajili ya Allah.
2- Mada hii inazungumzia: Alama za watu wakweli, kama vile utulivu wa moyo, na kuipa nyongo dunia na kujiepusha na riyaa, na anaeshikamana na Sunna wakati wa fitna, pia amezungumzia maana ya zuhdi.
3- Mada hii inazungumzia: Alama za ukweli nikuficha matendo mema, na kuhisi upungufu katika matendo yake, nakuyafanyia umuhimu na dini yake, na anathibiti kwenye dini wakati wa fitna, na kuikubali haki na kujisalimisha kwenye haki

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: