Sifa Za Ghurabaa Aliowataja Mtume (S.A.W)
Mhadhiri : Abuu Musa Abubakari Musa Kiza
Kurejea: Yunus Kanuni Ngenda
Maelezo
1- Mada hii inazungumzia: Sifa za Ghurabaa waliotajwa na Mtume (s.a.w), kwamba ni wale wanaotengeneza pindi watu wanapo haribu, pia imezunguzia Ghurabaa ni wale wanao shikamana na Manhaji ya Mtume (s.a.w).
2- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sifa za Ghurabaa ni kushikamana na Sunna na kuthibiti katika haki na kujiepusha na mambo ya batili, bid’a na uzushi, pia imezungumzia umuhimu wa kusoma na kuujua uislam.
- 1
Sifa Za Ghurabaa Aliowataja Mtume (S.A.W) 1
MP3 5.1 MB 2019-05-02
- 2
Sifa Za Ghurabaa Aliowataja Mtume (S.A.W) 2
MP3 4.2 MB 2019-05-02
Utunzi wa kielimu: