Elimu ya dini ndio ukombozi wetu 1

Mhadhiri : Abubakari Shabani Rukonkwa

Kurejea:

Maelezo

Mada hii inazungumzia ubora wa masiku kumi ya dhil hija kisha ameeleza kuwa Elimu ndio kibainisho cha halali na haramu na ndio sababu ya kumuabudu Allah kwa usahihi, na mtu asie kuwa na elimu ya dini anakuwa kama mfu.

Maoni yako muhimu kwetu