Janga la Umbeya - 1
Mhadhiri : Abubakari Shabani Rukonkwa
Kurejea: Shahidi Muhamad Zaid
Maelezo
Mada hii inaelezea: Maana ya kusengenya (Umbeya) na kwamba ni katika madhambi makubwa, kisha amebainisha sifa za watu wenye umbeya, na kwamba nimtu washari, na ataadhibiwa katika kaburi lake.
- 1
MP3 27.1 MB 2019-05-02
Utunzi wa kielimu: