Faida Ya Malezi Mema

Maelezo

1-Mada hii inazungumzia:Faida ya malezi mema, na amezungumzia kuwa Allah ndio mwenye kutowa watoto, na amezungumzia misingi ya kupata mototo mwema ikiwemo kuchaguwa mke mwema,na Haki za mtoto baada ya kuzaliwa.
2-Mada hii inazungumzia: Ubora wa kuwasomesha Quraan, na Uhatari wa kutowasomesha watoto dini matokeo yake watoto wanakua hali ya kuwa hawajui yaliyo ya halali wala ya haram mpaka katika ndoa zao.
3-Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa elimu ya dini na Makosa ya wanawake wakati wa nifasi, na mtume kumtuma Muadhi kwenda Yemen ni mfano mwema wa malezi bora.
4-Mada hii inazungumzia: Kuenea kwa dhulma sababu kubwa ni kukosekana malezi mema, pia imezungumzia hatari ya kuvuta sigara na ulevi wa pombe.
5-Mada hii inazungumzia: Njia nne za kumfanya mtoto kuwa mwema, pia imezungumzia maadili na faida alizotufundisha Mtume (S.a.w)

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi
Maoni yako muhimu kwetu