Jinsi Ya Kuyapata Mapenzi Ya Allah

Maelezo

Mada hii inazungumzia: Jinsi ya kupata mapenzi ya Allah, shekh amezungumzia njia mbali mbali za kuyapata mapenzi ya Allah, ikiwemo kupewa hekima, na utulivu na amani na kukinai, pia amezungumzia mambo ukiyafanya utapendwa na Allah.

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu