Mapokezi Ya Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani

Maelezo

1- Mada hii inazungumzia jinsi ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwemo kusafisha moyo na machafu na kuwasamehe walio tukosea, pia miongoni mwa mapokezi ya Rmadhani ni kuisoma Fiqhi ya swaumu.
2- Mada hii inazungumzia jinsi ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwemo kujitwaharisha na shirki na kuwaidhika kutokana na maumbile ya mwanadamu, na maradhi yanayo wapata wanadamu, pia amezungumzia umuhimu wa kuhifadhi swala tano.
3- Mada hii inazungumzia jinsi ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwemo uwajibu wa kujihifadhi na najsi katika nguo na mwili na sehemu ya kuswalia, na uhatari wa kuto kuhifadhi na haja ndogo na kuwachonganisha watu.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: