Wanawake Walio Karibu na Mtume

Mwandishi :

Maelezo

Mtunzi wa kitabu hiki amejitahidi kuwaelezea wanawake ambao walio mzunguka mtume alayhi salaam, na wakaacha athari njema wakiwemo wakeze na mabinti zake, pia ametupa mwangaza na sifa nzuri kwa hao wanawake walio twaharika walio bahatika kuishi katika zama za Mtume alayhi salaam

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi