Fikihi ya Ibada Pichani www.fiqhiswahili.com

Fikihi ya Ibada Pichani www.fiqhiswahili.com

Maelezo

Ni mradi unaohusiana na kuwepesisha mafunzo ya hukumu mbali mbali ya Uislamu kwa lugha mbali mbali, kwa lengo la kueneza Uislamu ulio sahihi kwa waislamu. Mradi huu unajumuisha kitabu chenye picha kuhusu hukumu mbali mbali za Uislamu, ndani ya kitabu hiki kuna milango mitano nazo ni: a) Twahara b) Swala c) Funga d) Zakka e) Hijja. Kitabu hiki kimekokotezwa na sherehe iliyounganishwa na dalili mbali mbali na picha ili kumuwepeseshia msomaji ufahamu wake na utekelezaji wake. Mradi huu kadhalika unajumuisha video zenye kusherehesha milango mitano iliyotangulia. Kama ulivyo mradi huu vile vile na tovuti katika kila lugha katika lugha zilizochaguliwa katika mradi huu pamoja na vyombo vingine vya habari vya kisasa, pamoja na Cd zinayobeba mada zote hizi.

Maelezo ya Kina

Maoni yako muhimu kwetu