Sherhu Umdatul Ahkam 24

Sherhu Umdatul Ahkam 24

Maelezo

Shekh anazungumzia: Ufafanuzi wa hadithi ya tano ameleza faida za hadithi ikiwemo, kujuzu kujitwaharisha katika maji yanayo tembea na inajuzu kukidhi haja katika maji yanayo tembea kwa dharura.
Kisha amebainisha hadithi ya sita inayo zungumzia namna ya kuosha chombo kilicho lambwa na mbwa na nguruwe kisha ametaja taratibu za kufuga mbwa.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi