Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 08

Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 08

Mhadhiri :

Kurejea: Abubakari Shabani Rukonkwa

Maelezo

Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia umuhimu wa tawba na masharti yake, na faida za tawba, na kwamba dawa ya makosa ya mja ni kufanya Tawba.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi