Kuondoa Damu Ya Hedhi Ikiingia Katika Nguo

Kuondoa Damu Ya Hedhi Ikiingia Katika Nguo

Mhadhiri :

Kurejea: Abubakari Shabani Rukonkwa

Maelezo

Mada hii inazungumzia: Namna ya kuiondoa damu ya hedhi iliyodondokea katika nguo, pia imezungumzia jinsi Mtume (s.a.w) alivyokuwa akiulizwa na wanawake maswali ya dimni.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi