Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 30
Maelezo
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni dua aliyomuombea Swahaba Abdi LLahi bin Abbas (r.a) ya kwamba Allah amzidishie elimu, pia imezungumzia umuhimu wa kujifunza kupitia miujiza ya Mtume (s.a.w).
- 1
YOUTUBE 0 B
- 2
MP4 180.4 MB 2019-05-02
- 3
MP3 26.5 MB 2019-05-02